Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini za serikali Mkuu?Vitu km hivi nadhani vipo wazi muende hosp tu,ndio suluhisho! Nawahamasisha na watu wengine jamani km umejiona una tatizo lolote mwilini kamuone daktari hasa wa hosp za serikali
Kwanini za serikali Mkuu?
Nimekuelewa Mkuu japo haohao wengi wanafanya pia na kwenye private. Nadhani cha msingi ni mtu kuwa madaktari kama wawili au watatu hivi wa kuwatumia anapokuwa na matatizo ya kiafyaKutokana na uzoefu wangu nao yaani ukijielezea tatizo anajua akufanyie kama ni vipimo gani au ushauri na siku zote nawaamini kutokana na kutatua matatizo,ila hizi nyingine madaktari wengine wanakua hawako qualified so jambo lolote laweza kutokea.
Nimekuelewa Mkuu japo haohao wengi wanafanya pia na kwenye private. Nadhani cha msingi ni mtu kuwa madaktari kama wawili au watatu hivi wa kuwatumia anapokuwa na matatizo ya kiafya
asante sn mzizi mkavu.. nna tatz hilo kw mwezi Wa pl sasa..nmepma nmeambiwa nna left ovarian cysty kidogo.... lkn tatz hili nlpatw Miez mi4 nyuma nkarudia ultra sound Wakasema lmekwisha..ch ajabu nmepma tn nmeambiwa hvo na kukosa hedh..kabla nilikua nikipata..na niko ktk kipnd cha kutafta mtoto..safar hii inajrudia huku nikpatwa na MAUMVU SANA CHN YA KITOVU....
Pole sana ndugu ningekushauri pia uende kupima Hormone zako Hospitali. Tumia hii dawa itaweza kukusaidia inshallah.naomba unisaidie mzizi mkavu tatizo langu ni kuruka kwa miez naeza pata bleed mwezi huu alafu nakaa tena kama miez mitatu ndo inatokea tena. mwanzon ilikua inaruka mwezi mmoja lakn ikaendelea mpka miez mitatu minne ndo napata tena..je naweza kua na tatizo.?
itabidi nikutafute unisaidie nami haya masuala plsPole sana ndugu ningekushauri pia uende kupima Hormone zako Hospitali. Tumia hii dawa itaweza kukusaidia inshallah.
TIBA YA HEDHI INAYOCHELEWA KUTOKA KWA SIKU ZAKE AU KUTOKA KABLA YA SIKU ZAKE KUFIKA: Hapa maana yake ni kuwa baina ya hedhi mbili huenda yakakaribiana sana au kuachana sana kinyume na ada. Yaani siku za tarehe zake haziendi sawa Chukua bakdonise (parsley) gramu 50 kisha uweke ndani ya maji lita moja, ichemshe kwa muda wa dakika tano na ikishapoa uchuje. Kunywa glasi moja kutwa mara mbili.