Tatizo la kula udongo: Fahamu visababishi, madhara yake na mbinu za kuacha

Tatizo la kula udongo: Fahamu visababishi, madhara yake na mbinu za kuacha

lols! hapana mkuu sina!
na hata nilipokuwa nao sikuwa nakula sana kama ninavyokula nikiwa sina ujauzito!!!
 
Ana ukosefu wa Madini Mwilini itabidi akamuone Daktari Kumpa Dawa ili aondoke na hilo tatizo nielewavyo mimi badhi Wanawake walio na mimba ndio huwa wanakula huo Udongo lakini cha ajabu bibie Paloma hana Mimba na amekuwa Teja wa nguvu wa huo Udongo!!! itabidi aende Hospitali haraka akachekiwe na kupewa Dawa ili tatizo liondoke baadae kusiwe an madhara makuu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu watu8 sio roho chafu ndio inayomsumbuwa ana ukosefu wa Madini Mwilini itabidi akamuone Daktari Kumpa Dawa ili aondoke na hilo tatizo nielewavyo mimi badhi Wanawake walio na mimba ndio huwa wanakula huo Udongo lakini cha ajabu bibie Paloma hana Mimba na amekuwa Teja wa nguvu wa huo Udongo!!! itabidi aende Hospitali haraka akachekiwe na kupewa Dawa ili tatizo liondoke baadae kusiwe an madhara makuu.

yote heri mkuu, maana nami kwa upande mwingine nimeona watu wakisumbuliwa na hiyo kitu wanaombewa na kuwa fresh...so it's up to huyo bibie kuopt tiba ya hospitali au hizo za kuombewa mwisho wa siku inabidi apone...

Gloria (Namibian) – Delivered From Eating Anthill Soil and Chalk
 
duu wengine upako wengine ukosefu wa madini ila ninachoamini itakuwa madini hayo yamepungua ila ishu ya upako what if haamini kwa ilo..
 
Halafu KUMBE NI MWANAUME UMENISHANGAZA! KAMA NI UPUNGUFU WA MADINI MWILINI WATU WA SOMALIA HAWALI JAPOKUWA WANA HALI MBAYA ZAIDI?
 
Dah!
Kwakweli nimeshtushwa sana kuambiwa ni roho chafu....toba yarabiiii....kwa hivyo nifunge safari niende SCOAN?!?!?!? eti we watu8?!?!?
 
Last edited by a moderator:
Dah!
Kwakweli nimeshtushwa sana kuambiwa ni roho chafu....toba yarabiiii....kwa hivyo nifunge safari niende SCOAN?!?!?!? eti we watu8?!?!?

Udongo una madini fulani ambayo mwili wako unavutiwa nayo.

Hamna roho mchafu wala nini usiwasikilize hao holier than thou.

Kama ukiweza kujua madini gani unayohitaji unaweza kuyapata bila kula udongo na kumaliza hili tatizo kama alivyosema Dr. Mzizimkavu hapo juu.
 
Mzizi..... ntaenda kwa tabibu aisee....
Halafu....katika mzunguko wa mwezi basi zile siku za hatari huwa nakula sana hiyo kitu - why?

Mkuu watu8 sio roho chafu ndio inayomsumbuwa ana ukosefu wa Madini Mwilini itabidi akamuone Daktari Kumpa Dawa ili aondoke na hilo tatizo nielewavyo mimi badhi Wanawake walio na mimba ndio huwa wanakula huo Udongo lakini cha ajabu bibie Paloma hana Mimba na amekuwa Teja wa nguvu wa huo Udongo!!! itabidi aende Hospitali haraka akachekiwe na kupewa Dawa ili tatizo liondoke baadae kusiwe an madhara makuu.
 
watu8 mimi sili chokaa, chaki, mchele, mkaa, ubuyu kwa saaana kama wale wengine! Afu ulaji wa udongo huo unaowaona huko SCOAN ni tofauti na wangu! Yani sijui nikuelezeje...siubugii kihovyohovyo ...tuseme kama mvuta sigara vile...siuwewesekei...i crave for it!

cha ajabu hapa ofisini kuna wadada kibao wanautumia hizo pemba...ukiend akwa wauzaji wanasema wanunuzi wakubwa ni wanawake? sasa swali langu kwa nini wanawake tuuu ndo wale hizi pemba?!?!?!?
 
Last edited by a moderator:
Halafu KUMBE NI MWANAUME UMENISHANGAZA! KAMA NI UPUNGUFU WA MADINI MWILINI WATU WA SOMALIA HAWALI JAPOKUWA WANA HALI MBAYA ZAIDI?
Apolonary, usishangae banaaa ona avatar yangu mbona inajieleza??!?!
Wa somalia haula ladha....sio "wa ugwadu" ndo mana hauliwi?
Uhsaambiwa udongo wenyewe unaitwa "pemba".......dont you ask why?
 
Last edited by a moderator:
Mzizi..... ntaenda kwa tabibu aisee....
Halafu....katika mzunguko wa mwezi basi zile siku za hatari huwa nakula sana hiyo kitu - why?
Kamuone Daktari akupime ili apate kukupa dawa hapa usipoteze muda wako kushindana na watu watakuchenguwa kabisa ninakutakia kila la kheri utapona tu ukimuona Daktari Paloma
 
Last edited by a moderator:
Paloma katibiwe hospitali tena kwa specialist, ikishindikana (ambayo siombei) kuna solution nyingine ambayo wakuu hapo wanaipinga.

Pemba na mchele nami nimekula kwa kufuata mkumbo lkn si kwasababu ya kupungukiwa iron wala calcium na niliacha kwa kuamua mwenyewe (l was never addicted).
 
Last edited by a moderator:
udongo mwekundu au wa pemba uko 'rich in iron'

na wanawake wengi wanakuwa anaemic sababu ya mzunguko wa kila mwezi au kwa sababu zingine.

Pia kama una ule ugonjwa wa haer..(kuota nyama sehemu za kutolea makapi) pia unasababisha kupungua damu.

Waone wataalamu, labda unaweza kuwa na tatizo la kupungua damu.
 
watu8 mimi sili chokaa, chaki, mchele, mkaa, ubuyu kwa saaana kama wale wengine! Afu ulaji wa udongo huo unaowaona huko SCOAN ni tofauti na wangu! Yani sijui nikuelezeje...siubugii kihovyohovyo ...tuseme kama mvuta sigara vile...siuwewesekei...i crave for it!

cha ajabu hapa ofisini kuna wadada kibao wanautumia hizo pemba...ukiend akwa wauzaji wanasema wanunuzi wakubwa ni wanawake? sasa swali langu kwa nini wanawake tuuu ndo wale hizi pemba?!?!?!?

Kwa kweli ndugu yangu uamuzi nadhani utakua nao wewe maana sijajua umekuwa addict kiasi gani...anyway waweza kwenda hospitali kama wengine walivyokushauri...
 
Last edited by a moderator:
fuata ushauri wa mzizimkavu..nenda hosp Inshaallah utapata dawa ya kuondoa tatizo hilo..pole!
 
Pole Sana Paloma
Mie huo udongo siupendi kabisa na wakati nikiwa na nujauzito sijawahi kuula Lakini Nashangaa mwanzoni mwa mwaka huu nikawa nimeanza kuula nikipita sokoni nanunua nakula.

Siku moja nesi mmoja akanikuta nakula akauliza una Mimba nikamwambia la hasha
Kwa nini unakula Udongo?

Mie nikajibu nasikia nautamani tu siku hizi. Akanambia kesho njoo Hosp, nikaenda nilipewa vidonge fulani sikumbuki jina.

Tangu nimemaliza dose sitamani hata kuuona udongo wenyewe.

I haope Hosp watakusaidia...

All the best
 
Asanteni sana!
I thought hakunaga dawa........!!! watu8 nitajaribu pia huko kwa upande wa maombi afu ntakupa mlishonyuma!

Azandenyi zana wakuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom