Tatizo la kula udongo: Fahamu visababishi, madhara yake na mbinu za kuacha

Tatizo la kula udongo: Fahamu visababishi, madhara yake na mbinu za kuacha

udongo.jpg

Nimejitahidi sana kwa miaka mingi ili niweze kuacha kula udongo lakini nimeshindwa. Ilianza kama utani lakini sasa naona nimekuwa addicted kabisa. Nikisafiri kwenda mbali ambapo huwa haupo napata shida kweli, huwa natamani niubebe lakini huwa naogopa airport wanaweza hisi ni madawa ya kulevya, na nikapata usumbufu mpaka nije kujieleza kuwa sio. Natamani kuacha lakini nashindwa sijui nifanyeje?
 
Siku ukianza kujisaidia vipande vya tofali utaacha tu.
 
Mkuu ukinya unaendaga na sabuni au unapaka mate ?

Nahisi unakunya matofali kama dozi kubwa
 
Katika maeneo ya Afrika, maeneo ya vijijini ya Umoja wa Mataifa, na vijiji katika India, matumizi ya udongo ni uhusiano na mimba na baadhi ya wanawake kula udongo kuondokana na kichefuchefu, pengine kwa sababu kanzu udongo njia ya utumbo na inaweza kunyonya sumu hatari. Udongo zinaweza pia kutoa calcium muhimu kwa ajili ya maendeleo fetal (Vermeer).

Katika Afrika, kaolin, wakati mwingine hujulikana kama kalaba (katika Gabon na Cameroon), calaba, na calabachop (katika Guinea ya Ikweta), ni kuliwa kwa furaha au kukandamiza njaa. Matumizi ni mkubwa miongoni mwa wanawake, hasa wakati wa ujauzito.

Katika Haiti, geophagy ni mkubwa. Udongo matope ni kazi katika kile kinachoonekana kama pancakes au cookies, inayoitwa "bon bons de terres" (udongo bon bons), kwamba ni kavu katika jua na kuuzwa katika maeneo ya maskini. Kiasi kidogo cha viungo vingine, mboga shortening, chumvi na wakati mwingine sukari, pia ni aliongeza kwa mchanganyiko.

Udongo Bentonite inapatikana duniani kote kama misaada digestive; kaolin ni pia sana kutumika kama misaada ya utumbo na kama msingi kwa ajili ya baadhi ya madawa. Attapulgite, aina nyingine ya udongo, ni kingo kazi katika wengi madawa ya kupambana na kuhara.

Swali la kujiuliza je ni aina gani ya udongo ambao wewe hula?

Unaweza kukutana na hili
Kuna hatari dhahiri katika matumizi ya ardhi kwamba ni machafu na mnyama au kinyesi cha binadamu; hasa, vimelea mayai, kama vile minyoo, ambayo inaweza kukaa dormant kwa miaka, anaweza kuwasilisha tatizo mbeleni. Pepopunda italeta hatari zaidi.
 
Mi nakushauri uende kwa TB Joshua.. pale kuna watu kama wewe wanakula SIMENTI na wamepona, sembuse wewe wa udongo
 
Habari ya kutwa wakuu !!
Mke wangu anakula sana udongo hadi naogopa nikimwambia acha anakuwa na hasira,una faida gani udongo?
Jioni njema
 
Habari ya kutwa wakuu !!
Mke wangu anakula sana udongo hadi naogopa nikimwambia acha anakuwa na hasira,una faida gani udongo?
Jioni njema
Udongo mwekundu una madini ya chuma, madini hayo yakipungua mwilini lazima ale udongo na hasa huwa hivyo kwa akina mama wajawazito. Madini hayo ni muhimu kwa mtoto pia. Mbadala wa udongo ni zambarau. Kama zipo acha ale hizo badala ya udongo. Udongo kama haukuandaliwa vyema huweza kuwa na madhara kwa mlaji hasa kupata minyoo.
 
Back
Top Bottom