Tatizo la kula udongo: Fahamu visababishi, madhara yake na mbinu za kuacha

Hivi mambo haya na wazungu wanakulaga au ni mama zetu tu hawa wakiafrika😂😂
 
Unakulaje udongo,ujue humo Kuna mavi ya kila wanyama ,mikojo,mizoga ya wadudu wanyama na mimea,minyo ya kila aina,uvindo yani Ni kitu flani kichafu sana

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
huwa najaribu kuwaza haya hili nisile lakini wapi
 
Unakulaje udongo,ujue humo Kuna mavi ya kila wanyama ,mikojo,mizoga ya wadudu wanyama na mimea,minyo ya kila aina,uvindo yani Ni kitu flani kichafu sana

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Yote hayo nayafikiria,lakini mwisho wa siku mwenyewe naenda gengeni kununua
 
Back
Top Bottom