Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,955
udongo mwekundu au wa pemba uko 'rich in iron'
na wanawake wengi wanakuwa anaemic sababu ya mzunguko wa kila mwezi au kwa sababu zingine.
Pia kama una ule ugonjwa wa haer..(kuota nyama sehemu za kutolea makapi) pia unasababisha kupungua damu.
Waone wataalamu, labda unaweza kuwa na tatizo la kupungua damu.
Uuuuwi Kongosho ....sina vinyama huko kunako...
Last edited by a moderator: