Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

Kula Tende zinasaidia sana kupata nakulainisha choo
 
Nakumbuka mara yangu ya kwanza kula ugali wa udaga nilikaa siku tatu bila kujisaidia sasa siku ya nne ilikuwa balaa
 
Wiki 4 na chakula unakula? Aisee muone daktari haraka sana hiyo ni zaidi ya constipation.
 
Unakula nafaka zilizokobolewa sana mkuu na Maji hunywi ya kutosha...vile vile vyakula vya nyuzinyuzi(fibre) hutumii huenda...Pole sana
 
Chanzo chake ni kula vyakula vilivyokobolewa hasa mazao ya ngano nyeupe pia kukosa matunda na kukosa maji yakutosha mwili tumia unga was dona mboga za majani matunda uji wa soya na ulezi maji lt4 kwa siku baada ya siku tatu utaona tofauti usitumie soda na aina zake
 
Habarini wanajamvi nilikua nataka kujua chanzo cha kutopata choo kwa muda mrefu madhara yake na jinsi ya kutatua tatizo ilo unaweza ukakuta mtu anakosa choo hata wiki 4

Week nne? Utakuwa mtu asiyejulikana wewe sio bure. [emoji2][emoji2]
 
Wiki 4??na chakula unakula?? Aisee muone daktari haraka sana hiyo ni zaidi ya constipation.

Just imagine mtu amekaa week nne hajapata choo. Huyu akijamba kwenye dalala lazima asababishe ajali [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kula matunda hasa yenye fibre kama mchungwa, machenza na mananasi

Kula mboga mboga na ugali wa dona , maharage pia yanasaidia hata makande

Kunywa maji mengi pia fanya mazoezi

Dawa za kupungua a maumivu Mara nyingi husababisha matizo ya choo fikiria ni lini Mara ya mwisho ulitumia dawa.
 
Habarini wanajamvi nilikua nataka kujua chanzo cha kutopata choo kwa muda mrefu madhara yake na jinsi ya kutatua tatizo ilo unaweza ukakuta mtu anakosa choo hata wiki 4
Tumia juice ya ukwaju.Tengeneza juisi ya ukwaju yenye ujazo wa lita moja.

Matumizi:
Kunywa maji lita moja nusu saa kabla kisha baada ya nusu saa kunywa maji tena lita moja kisha kunywa hiyo juisi.

Matokeo:
Jiandae kwenda chooni ndani ya dakika tano tu.

Nilitumia tiba hii binafsi na tatizo liliisha.
 
Vyakula havina fibre unakula mi vyakula mibaya...huu msimu wa ukwaju tafuta ukwaju utengeneze juice nzito ya ukwaju
 
Kula mboga za majani kwa wingi.
kunywa lita moja ya maji ya uvuguvugu,alfajiri kisha fanya mazoezi.
 
Kwa kawaida kama huna tatizo la kutopata choo kitalaamu tunaliita (constipation) inatakiwa kwa siku uende mara moja au mara mbili. Pia choo unachopata kinatakiwa kiwe lain na sio kama cha mbuzi na kigumu ambacho ukienda kujisaidia mpaka unaumia.

Namna ya kutatua tatizo kwa mara moja ni kutumia juice ya ukwaju.. glasi hata 3 au hata 1Lt zna ukwaju baada ya muda kidogo utaona tumbo lishaanza kua mdebwedo then nenda chooni.
But kwa kusove tatizo lisikutokee fanya yafuatayo.
1. Kunywa maji ya kutosha nusu saa baada ya kula.. hakikisha mpaka jua limetua atleast 3 lts kwa maeneo ya joto kama dar.
NB: Unywaji maji unategemea na hali joto pia ya mahali husika bt maji ni lazima unjwe no matter what. Usiruhusu usikie kiu maana apo mwili unakua umekualert umepoteza maji kwa 1% mwln mwako.

2. Kula vyakula vyenje nyuzi nyuzi ( fibers) za kutosha na mboga mboga za majani. Pia zile nyama nyama za matunda zina fibre nyingi ambazo husaidia pia kulainisha choo.. usipendelee kunywa juice yake tuu..

3. Nafaka zilizokobolewa ni chanzo pia cha constipation mfano ( unga wa sembe na ngano iliyokobolewa). Tumia ugali wa dona na ngano isiyokobolewa..
 
Hapa naona hakuna tatizo ila unataka tu kujua, sasa hizo wiki 4 mmmmh
 
Aiseee umevunja rekodi!!au unameng'enya sana msosi unasagika na kua maji unakojoa???week NNE no ny'aa!!nenda hospital haraka unaweza pata maambukizi ktk damu sababu ya uchafu kurundikana tumboni.
 
Back
Top Bottom