Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

Habari za majukumu wakuu,

Naombeni munijuze, mwezi wa pili sasa napata choo kwa tabu sana; nakaa siku 2 mpaka siku 3 siendi chooni na nikiingia chooni sipati choo mpaka njikakamue sana na ninachokula tofauti na ninachokitoa, hata robo haifiki na ni kwa kazi sana.

Naombeni ushauri ndugu zangu [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine wana sema hiyo inawezekana ni moja ya dalili za vidonda vya tumbo, ulcers.
 
Hakikisha kuanzia wiki hii yote haukosi mboga za majani kila siku na ule nyingi za kutosha.

Pia usisahau nanasi, kula nanasi especially lile shina la katikati halafu sikilizia ndani ya siku kadhaa uone impact yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za majukumu wakuu,

Naombeni munijuze, mwezi wa pili sasa napata choo kwa tabu sana; nakaa siku 2 mpaka siku 3 siendi chooni na nikiingia chooni sipati choo mpaka njikakamue sana na ninachokula tofauti na ninachokitoa, hata robo haifiki na ni kwa kazi sana.

Naombeni ushauri ndugu zangu [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kula ndizi hasa ndizi bukoba zenye mchanganyiko wa bamia, bilinganya na nyanya chungu, kiwe chakula chako mara kwa mara,bila kusahau maji kwa wingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom