financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,210
- 43,608
Aisee, sasa hamna jinsi ya kuutoa hapo[emoji30] ,na huwa sipotezei Mara Nyingi mfano nipo kwenye daladala ndiyo nauskia, mpaka nifike home, ushapotea [emoji30]Na inawezekana hili tatizo ulilianzisha mwenyewe kwa tabia yako ya kupotezea kwenda masalani, mzigo ukikaa kwenye eneo linaitwa Colon maji yanakuwa reabsorbed kurudi mwilini mzigo unabaki mkavu kuutoa unakuwa issue