financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,210
- 43,608
Huwa nakunywa mkuu, ila ntaongeza kipimo zaidi, thank youKula mapapai utakunya kitu laini inaonekana hunywi maji
Huwa nakunywa mkuu, ila ntaongeza kipimo zaidi, thank youKula mapapai utakunya kitu laini inaonekana hunywi maji
[emoji18] [emoji18] haina jinsi, ni kuvumilia tuuUkifungua mlango wa ushauri na wanywa gongo watakushauri, vumilia mpendwa
OK, sometimes kweli huwa napotezea ,na nikitaka kwenda sasa hamna kitu kabisaHapo kwenye namba 6 napo ni muhimu kupazingatia,lakini ukiwa na ile tabia ya kusikia mzigo unakuja halafu una ahirisha masaa 6,hapo lazima na wenyewe ujiahirishe,na kitakchofuata hapo ni ile ukiingia kujisaidia lazima vikutoke vimachozi kidogo kama umepigwa...
Hichi ndyo naogopa zaidi, na ndyo maana hata nikienda uani kama havitoki sijilazimishi sana,naondokaUbaya wa hili tatizo linapelekea kupata haemorrhoids ambayo ni mbaya zaidi
100% sure, sina mkuu[emoji3]
Minyoo ya ulaya[emoji3] [emoji3] ,unamaanisha ya kwetu bongo ni sugu ?inabidi ipate dawa heavy, inawezekana nimesahau jina lake, after 3 months ntatumia hiyo "Ketrax" mkuu ,thank youuAina gani ya dawa ulikunywa? Tatizo mnapenda kunywa dawa za minyoo wa ulaya. Hebu tumia ketrax au jina lingine levamisory ya kenya au tanzania. Itafaa kuua minyoo wa Tanzania.
Nimetoka kununua huu ubuyu + ukwaju nataka nitengeneze juice yake, ntaleta mrejesho ahsanteeKula ubuyuu
nakuona ulivyoapa mpaka na mchanga umelamba 🤣100% sure, sina mkuu[emoji3]
Hahaaa, najiamini kuhusu hiloonakuona ulivyoapa mpk na mchanga umelamba 🤣
Mkuu Nyambo, popote ulipo Kwa Dar naweza kukufata as long as nipate dawa, mi nipo MagomeniiNambie uko maeneneo gani kwa Dar yetu nikuletee dawa mshauri wetu wa masuala ya fedha!
Na inawezekana hili tatizo ulilianzisha mwenyewe kwa tabia yako ya kupotezea kwenda masalani, mzigo ukikaa kwenye eneo linaitwa Colon maji yanakuwa reabsorbed kurudi mwilini mzigo unabaki mkavu kuutoa unakuwa issueOK, sometimes kweli huwa napotezea ,na nikitaka kwenda sasa hamna kitu kabisa
Huwa si chini ya Lita 3 sasa maana jioni ndyo nakunywa sana kabla sijaenda kulala, huwa naishia kwenda short calls Mara nyingi usiku[emoji18]Umesema unakunywa maji sawa kwa siku lita ngapi? Na umesema una tumia matunda ni matunda gani hayo napendeza kila mlo wako usikose ndizi mbivu, chungwa na anza kula kabla ya chakula anza na matunda , unapumzika ndio unashusha ,mlo
Huwezi ukaacha dimba likigoma hutakaa kwa raha [emoji23][emoji23][emoji23]Hichi ndyo naogopa zaidi, na ndyo maana hata nikienda uani kama havitoki sijilazimishi sana,naondoka