Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

financial services,
1. Punguza matumizi ya nyama ng'ombe na mbuzi au kondoo
2. Kula dona na punguza ulaji wa sembe na wali
3. Dawa za minyoo kutumia mara ya mwisho lini? Tumia dawa za minyoo, tumia ketrax baada ya siku saba rudia dozi.
4. Jitahidi matunda na mboga za majani
5. Ratiba ya kula uifuate.
6. Muda wa kwenda toilet uwe na ratiba
 
Kwa lishe hii ilitakiwa tatizo lipotee.
Thank you Dada, ila Maji nakunywa sana tena kwa kujilazimisha sometimes labda niongeze zaidi, na matunda nakula mfano jioni dinner yangu ni matunda nakula sana embe, papai na parachichi na maji, ila ndiyo hivo[emoji30] [emoji30]
 
pole sana ndugu.hospitali umeenda lkn?
Sijawahi kwenda hospital specifically Kwa ajili ya tatizo hilo,ila nakumbuka nilikua naumwa malaria, nikamgusia doctor kwamba huwa napata constipation pia, akanishauri tu ninywe Maji mengi + matunda ,labda niende Kwa ajili ya hiyo sasa
 
Dah sista hizi mbegu kwa habar nilzozisikia, waweza kesha unaenda kunako ila si mbaya ukajarbu pia labda zitaona haya[emoji2][emoji2]
Ohoo, inakua non stop eeh, mi natamani nitoe mauchafu yotee tu, haina shida kabisa ntavumilia[emoji30]
 
Back
Top Bottom