Ahsante, ntajitahidi zaidipole sana mrembo
ni vema ukafuata ushauri wa kunywa maji mengi na matunda ya kutosha
hao wengine wapo humu kutafuta wateja wa sijui chia sid huku tiba ni hiyo tena kwa gharama nafuu
we kunywa maji
Zile za ndani nyeusi mkuu? Maana nishaambiwaga maganda ya papai + mbegu zake ni sumu eti, vipi nazilaje nimeze?Kula mbegu za papai
Dah sista hizi mbegu kwa habar nilzozisikia, waweza kesha unaenda kunako ila si mbaya ukajarbu pia labda zitaona haya😃😃Tafuna mbegu za mlonge angalau sita kwa siku tatu mfululizo
Kunywa maji 75% of faeces is water, kula matunda na mboga za majani digestion yake ni rahisi kuliko nyama
Ukiishiwa na maji kidogo mzigo unakuwa mgumu.
Si mchezoAisee ,ntazitafuta hizi vipi ukikimbiza sana eeh?, how I wish nitoe mauchafu yotee
Ngoja kwanza nisome post namba 1 kisha nami nishauri
Ana tatizo la kupata choo kikubwa kwa shida na tabu sana...
[emoji23][emoji23] hii sio mchezo balaa lake nalijua.Tafuna mbegu za mlonge angalau sita kwa siku tatu mfululizo
hao mashehe sitaki hata kuwaona wakikupa dozi inakuwa sio poa kabisa andaa tu jaba la maji ya kutosha pembeni kisha weka na kiti chooni.Nenda maeneo ya msikitini wale maustadhi wenye kuuza dawa za asili lazima watakuwa nazo