financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,210
- 43,608
Ahsantee mkuuPole sana Mkuu
Ahsantee mkuuPole sana Mkuu
Ushauri ndyo ulipoishia mkuu?Ni kuruhusu tigo iliwe
Ahsante, nitazingatia na dawa ya minyoo nimekunywa mwezi uliopita nikihisi labda ingenisaidia but hamna kitu1. Punguza matumizi ya nyama ng'ombe na mbuzi au kondoo
2. Kula dona na punguza ulaji wa sembe na wali
3. Dawa za minyoo kutumia mara ya mwisho lini? Tumia dawa za minyoo, tumia ketrax baada ya siku saba rudia dozi.
4. Jitahidi matunda na mboga za majani
5. Ratiba ya kula uifuate.
6. Muda wa kwenda toilet uwe na ratiba
Mkuu, nimeacha siku hizi vitu vinavyotumia mafuta mengi nimepunguza sana tu ,nakula waliiHistoria yako ya kulakula chips na mishikaki inakuadhibu!
Wali ukimbie pia siyo chakula kile!Mkuu, nimeacha siku hizi vitu vinavyotumia mafuta mengi nimepunguza sana tu ,nakula walii
wali kama unaweza kuacha achana nao,ila kama huwezi jitahidi kwa wiki ule mara 1Mkuu, nimeacha siku hizi vitu vinavyotumia mafuta mengi nimepunguza sana tu ,nakula walii
Kunywa maji 75% of faeces is water, kula matunda na mboga za majani digestion yake ni rahisi kuliko nyama
Ukiishiwa na maji kidogo mzigo unakuwa mgumu.
Mimi nikipitisha siku moja pressure ina panda maana nimeshazoea kila siku lazima mzigo ushuke,nikifika siku ya pili haujashuka,tikiti lazima linihusu,siku ya 3 haujashuka,ducolux lazima imalize kazi maana in 8 hrs time lazima uteremke...Mimi naweza kaa wiki mbili nikienda haja lazima nichanike na dawa nitumie, full maumivu hata sijui inakuwaje
Ushauri ndyo ulipoishia mkuu?
Hapo kwenye namba 6 napo ni muhimu kupazingatia,lakini ukiwa na ile tabia ya kusikia mzigo unakuja halafu una ahirisha masaa 6,hapo lazima na wenyewe ujiahirishe,na kitakchofuata hapo ni ile ukiingia kujisaidia lazima vikutoke vimachozi kidogo kama umepigwa...Ahsante, nitazingatia na dawa ya minyoo nimekunywa mwezi uliopita nikihisi labda ingenisaidia but hamna kitu
hata ujauzito husababisha constipation
Aina gani ya dawa ulikunywa? Tatizo mnapenda kunywa dawa za minyoo wa ulaya. Hebu tumia ketrax au jina lingine levamisory ya kenya au tanzania. Itafaa kuua minyoo wa Tanzania.Ahsante, nitazingatia na dawa ya minyoo nimekunywa mwezi uliopita nikihisi labda ingenisaidia but hamna kitu
Inaweza onekana kama joke but it helps, tafuta mapera ule mengimengi tu then baada ya siku moja lazima utashusha mzigo heavy, then
Fanya uwe unakula chakula kisichokobolewa, mean ugali wa dona, mkate wa ngano isiosagwa ndizi mchemsho, uhakika wa kwenda toi daily upo,
Acha kula na wali pilau au ugali wa sembe,
Sasa nile kitu gani mkuu duhWali ukimbie pia siyo chakula kile!
Aisee, Mara Nyingi napendelea kula wali ugali siupendagi sana,ngoja nipunguze matumizi ya wali sasa, thank youwali kama unaweza kuacha achana nao,ila kama huwezi jitahidi kwa wiki ule mara 1
ukila wali usile ugali ukila ugali usile wali,ila ukiwa ndio wale wa kula mchana ugali
usiku wali 7/week aseee constipation izoee na ujiandae kuwa mwenyekiti wa "wenye vitambi"