storyteller
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 1,511
- 1,844
Ndo korona yenyewe iyo mkuu...Hivi hii Koo kukauka tatizo ni nn jamani!? Maana na mm saivi niko poa Ila Koo linakauka sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo korona yenyewe iyo mkuu...Hivi hii Koo kukauka tatizo ni nn jamani!? Maana na mm saivi niko poa Ila Koo linakauka sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Da bafua yakibada yadazigua kidoma... udaweza shidwa ata kuadika....
Unaweza kuwa na Korona bila mafua na kikohozi wala homa, nakushauri ukapime kupata uhakika hauambukizi wengine na unapata matibabu ya NIMR au dawa ya Madagascar au jifukize.Mimi nina takribani siku 6 sasa, sijui harufu ya kitu chochote wala sisikii taste ya chochote.
Siumwi homa, wala mafua.
Hii ilitokea gafla tu baada ya kumeza Alu (mseto).
Kuna wenzangu humu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu niko vyema sanaUnaweza kuwa na Korona bila mafua na kikohozi wala homa, nakushauri ukapime kupata uhakika hauambukizi wengine na unapata matibabu ya NIMR au dawa ya Madagascar au jifukize.
Duh tupo wengi! Yaani hapa sipati harufu yoyote isipokuwa nilinusa perfume mara moja tu nikaipata basi, ila ladha napataHiyo hali imenikumba nina kama mwezi sasa jana nimeishia kula maharage yaliyochacha bila kujua wifu ndio alikuja kunisanua kua yale maharage yalikua yamechacha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hayo hayasikiki mkuuNuseni Mavi.. usipo sikia harufu jua unatatizo.. mavi ndo kipimo kizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kupiga sana mkorogo wa tangawizi, kitunguu saum na maji na limao hatimae naanza ku sense kwa mbali yani kitu mpaka nikiweke puan ndio naskia harufu kwa mbali kitu ambacho mwamzo nilkua sihisi harufu yoyote hata niweke puan kabisa.Duh tupo wengi! Yaani hapa sipati harufu yoyote isipokuwa nilinusa perfume mara moja tu nikaipata basi, ila ladha napata
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji56][emoji28][emoji28]Da bafua yakibada yadazigua kidoma... udaweza shidwa ata kuadika....
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ni noma mkuuDa bafua yakibada yadazigua kidoma... udaweza shidwa ata kuadika....
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana. Itarudi tuMi na kijoti muda wote .harufu hakuna kabisaView attachment 1451918
Sent using Jamii Forums mobile app
Itarudi .Baada ya kupiga sana mkorogo wa tangawizi, kitunguu saum na maji na limao hatimae naanza ku sense kwa mbali yani kitu mpaka nikiweke puan ndio naskia harufu kwa mbali kitu ambacho mwamzo nilkua sihisi harufu yoyote hata niweke puan kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo hali imenikumba nina kama mwezi sasa jana nimeishia kula maharage yaliyochacha bila kujua wifu ndio alikuja kunisanua kua yale maharage yalikua yamechacha.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii chai sasaHiyo hali imenikumba nina kama mwezi sasa jana nimeishia kula maharage yaliyochacha bila kujua wifu ndio alikuja kunisanua kua yale maharage yalikua yamechacha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ata ladha ya papuchi husikii?