Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa (Kutosikia harufu): Fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa (Kutosikia harufu): Fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

Screenshot_2020-05-22-18-31-24.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • Screenshot_2020-05-22-18-31-24.jpg
    Screenshot_2020-05-22-18-31-24.jpg
    46.6 KB · Views: 3
Bila salamu moja kwa moja kwa mwataalamu.

Siku ya saba na hakuna dalili ya kurudisha uwezo wa kunusa harufu yoyote iwe mbaya au nzuri hata ile ya kitunguu kikali hakunaaa

Pua hazijaziba
Hakuna kikohozi
Kifua hakibani
Mafua kidogo sana ambayo hata sio ya kumeza dawa
Kichwa hakiumi

Mwanzo wa tatizo matundu ya pua sehemu ya juu yalikua yanauma vibaya mnoo na mafua mafua. Hiyo hali ya maumivu imekata ila kunusa harufu yoyote ndio hakuna

Msaada tafadhali.
 
Wataalamu wanasema hali hiyo inaweza kiduku kwa muda wa siku 7-14 baada ya kuingia corona. Ni kutokana na maumivu katika olfactory nerves wakati wa kuuguza corona na ni hali inayojirekenisha yenyewe.
 
Wataalamu wanasema hali hiyo inaweza kiduku kwa muda wa siku 7-14 baada ya kuingia corona. Ni kutokana na maumivu katika olfactory nerves wakati wa kuuguza corona na ni hali inayojirekenisha yenyewe.
Kwa maana hiyo ni hatua za mwisho za kupona?
 
Kwa maana hiyo ni hatua za mwisho za kupona?
What?!!,hatua ya mwisho nani kakuambia asee?,hiyo ni effect kwenye brain,,so huwezi kusema ndo mwisho,kikubwa malimao,tangawizi vihusike,inaweza kuwa last,mid or first stage,,inategemea na immunity ya mtu
 
Early analyses of Covid-19 patients in January told of the most common symptoms: fever, cough, and difficulty breathing. More diagnosed cases and research revealed less common symptoms, such as vomiting and diarrhea, indicating that in some people, the coronavirus was disrupting the digestive system, not just the respiratory tract.

By late February, we learned of mysterious cases involving no symptoms at all — silent super-spreaders of a deadly disease who didn’t even know they had it and felt nothing. Then, last month, things got stranger, as reports emerged of diagnosed Covid-19 cases in people who had lost their sense of smell yet showed few or no other symptoms of the disease. Along the way, physicians reported some people with Covid-19 experiencing mild cold- or flu-like symptoms, ranging from sniffles to fatigue.

And yet it’s still getting stranger. SARS‐CoV‐2, the coronavirus that causes Covid-19, appears to be attacking people’s brains.
It’s not yet clear how SARS-CoV-2 might be affecting the brain, but experience with other viruses, including the flu, suggests it certainly could make its way there.

Evidence so far, however, involves only anecdotes from physicians telling of Covid-19 patients initially experiencing confusion, headaches, and other symptoms that may be caused by inflammation of the brain, along with early studies involving small numbers of patients — sometimes just one.
 
What?!!,hatua ya mwisho nani kakuambia asee?,hiyo ni effect kwenye brain,,so huwezi kusema ndo mwisho,kikubwa malimao,tangawizi vihusike,inaweza kuwa last,mid or first stage,,inategemea na immunity ya mtu
Ooh my God
 
Ooh my God
😁😁,Lakini ujue sisi waafrica tuko wagumu sana,,africa nzima vifo havifiki 5000.
Virus wako weak,kulinganisha na kwi gine,ingawa dunia nzima sasa ukitoa brazil,rate ya maambukizi inashuka
 
😁😁,Lakini ujue sisi waafrica tuko wagumu sana,,africa nzima vifo havifiki 5000.
Virus wako weak,kulinganisha na kwi gine,ingawa dunia nzima sasa ukitoa brazil,rate ya maambukizi inashuka
Mkuu this is not a joke kesho nanyenyua mkonga kuwapigia wa nyumbani wakae wakijua maana unaweza kujihisi kwenye afya kumbe wadudu wanatafuna taratibu tu ngoja nizigatie ushauri hapo juu
 
😁😁,Lakini ujue sisi waafrica tuko wagumu sana,,africa nzima vifo havifiki 5000.
Virus wako weak,kulinganisha na kwi gine,ingawa dunia nzima sasa ukitoa brazil,rate ya maambukizi inashuka
Hivi wagonjwa wanakaa na huu ugonjwa siku kama ngapi hadi mauti yaani namaanisha tangu dalili zijioneshe kama unajua nielezee wiki au miezi?
 
Kaka this is not the joke hiyo hali imetokea kwa watu wengi hata Mimi pia ila Mimi nilichokifanya nilikuwa nakula tangawizi mbichi kavukavu hiyo hali hudumu Kama wiki mbili halafu hupotea,asikutishe mtu
 
Back
Top Bottom