Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
Utakaa sawa tu ni hali ya mpito iyoDaaah, ahsanteh sana Mkuu wangu sahv nasikia kwà mbaliii sana hv!!!
Typed Using KIDOLE
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakaa sawa tu ni hali ya mpito iyoDaaah, ahsanteh sana Mkuu wangu sahv nasikia kwà mbaliii sana hv!!!
Typed Using KIDOLE
Baada ya siku tatu
Kama kipanya anavyo sema kapige nyungu mkuu.Katuni hii imefanya nianzishe mada maana nilipuuzia nikajua itarudi tu ila naona siku zinazidi kwenda
View attachment 1469472
Kwa maana hiyo ni hatua za mwisho za kupona?Wataalamu wanasema hali hiyo inaweza kiduku kwa muda wa siku 7-14 baada ya kuingia corona. Ni kutokana na maumivu katika olfactory nerves wakati wa kuuguza corona na ni hali inayojirekenisha yenyewe.
Hakuna namna nyingine ya kufanya?Kama kipanya anavyo sema kapige nyungu mkuu.
Je kuna mtu ameshapitia uzoefu kama huo na alifanyaje kupona kama unamjua pleaseCorona may be
Vuta mvuke wakutosha mkuu upone haraka.Hakuna namna nyingine ya kufanya?
What?!!,hatua ya mwisho nani kakuambia asee?,hiyo ni effect kwenye brain,,so huwezi kusema ndo mwisho,kikubwa malimao,tangawizi vihusike,inaweza kuwa last,mid or first stage,,inategemea na immunity ya mtuKwa maana hiyo ni hatua za mwisho za kupona?
Ooh my GodWhat?!!,hatua ya mwisho nani kakuambia asee?,hiyo ni effect kwenye brain,,so huwezi kusema ndo mwisho,kikubwa malimao,tangawizi vihusike,inaweza kuwa last,mid or first stage,,inategemea na immunity ya mtu
😁😁,Lakini ujue sisi waafrica tuko wagumu sana,,africa nzima vifo havifiki 5000.Ooh my God
Mkuu this is not a joke kesho nanyenyua mkonga kuwapigia wa nyumbani wakae wakijua maana unaweza kujihisi kwenye afya kumbe wadudu wanatafuna taratibu tu ngoja nizigatie ushauri hapo juu😁😁,Lakini ujue sisi waafrica tuko wagumu sana,,africa nzima vifo havifiki 5000.
Virus wako weak,kulinganisha na kwi gine,ingawa dunia nzima sasa ukitoa brazil,rate ya maambukizi inashuka
Hivi wagonjwa wanakaa na huu ugonjwa siku kama ngapi hadi mauti yaani namaanisha tangu dalili zijioneshe kama unajua nielezee wiki au miezi?😁😁,Lakini ujue sisi waafrica tuko wagumu sana,,africa nzima vifo havifiki 5000.
Virus wako weak,kulinganisha na kwi gine,ingawa dunia nzima sasa ukitoa brazil,rate ya maambukizi inashuka