Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa (Kutosikia harufu): Fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

Mimi nina takribani siku 6 sasa, sijui harufu ya kitu chochote wala sisikii taste ya chochote.

Siumwi homa, wala mafua.
Hii ilitokea gafla tu baada ya kumeza Alu (mseto).
Kuna wenzangu humu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuwa na Korona bila mafua na kikohozi wala homa, nakushauri ukapime kupata uhakika hauambukizi wengine na unapata matibabu ya NIMR au dawa ya Madagascar au jifukize.
 
Wote mna corona sema immuni zinapambana ndomana hamna dalili nyingine


Imeisha hiyoo
 
Eti uwezo wa kunusa. Ukikutana na kimba la msukuma usiposikia harufu, basi wewe ni rip.

Sent using amfifiro
 
Duh tupo wengi! Yaani hapa sipati harufu yoyote isipokuwa nilinusa perfume mara moja tu nikaipata basi, ila ladha napata

Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kupiga sana mkorogo wa tangawizi, kitunguu saum na maji na limao hatimae naanza ku sense kwa mbali yani kitu mpaka nikiweke puan ndio naskia harufu kwa mbali kitu ambacho mwamzo nilkua sihisi harufu yoyote hata niweke puan kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…