Asante kwa matumaini kuanzia kesho nikushinda na tangawiziKaka this is not the joke hiyo hali imetokea kwa watu wengi hata Mimi pia ila Mimi nilichokifanya nilikuwa nakula tangawizi mbichi kavukavu hiyo hali hudumu Kama wiki mbili halafu hupotea,asikutishe mtu
Bila salamu moja kwa moja kwa mwataalamu.
Siku ya saba na hakuna dalili ya kurudisha uwezo wa kunusa harufu yoyote iwe mbaya au nzuri hata ile ya kitunguu kikali hakunaaa
Pua hazijaziba
Hakuna kikohozi
Kifua hakibani
Mafua kidogo sana ambayo hata sio ya kumeza dawa
Kichwa hakiumi
Mwanzo wa tatizo matundu ya pua sehemu ya juu yalikua yanauma vibaya mnoo na mafua mafua. Hiyo hali ya maumivu imekata ila kunusa harufu yoyote ndio hakuna
Msaada tafadhali.
Hakuna namna picha nimeiweka jinsi ilivyo kuepuka kuonesha yaliyoko pembeniVuta mvuke wakutosha mkuu upone haraka.
DuuuhNuseni Mavi.. usipo sikia harufu jua unatatizo.. mavi ndo kipimo kizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio lazima ufe bana,,unaweza ukawa na dalili na ukapona bila kufikia complication au hata kulazwa,mgonjwa alie na record ya kukaa na ugonjwa huo mda mrefu ni siku 60Hivi wagonjwa wanakaa na huu ugonjwa siku kama ngapi hadi mauti yaani namaanisha tangu dalili zijioneshe kama unajua nielezee wiki au miezi?
Mkuu asante asali vitunguu ninavyo leo naanza na mvuke kwanza kesho naendelea na vingineNatural Cures For Anosmia
The total loss of sense of smell is known as anosmia. We never even think about our sense of smell, we are so much used to it that we take it for granted. But if we stop to think about it for a moment, we are simply unable to imagine our life without it. Our sense of smell not only enhances the taste of the food that we eat but it also warns us of certain dangers like gas leakage, smoke from a fire, food gone rancid and many more such incidences.
The olfactory nerves situated in the nose detect odors with the help of a molecule which carries the odor from a substance. When the olfactory nerves are stimulated, the nerve cells send a message to the brain which detects the odor and identifies the particular smell. When these nerve cells get damaged due to injury to the nose, sinus problems, exposure to toxic chemicals, certain medications and diseases and nasal polyps, the ability to smell is impaired...
Corona hiyo. Ila usijali utatoboa tu kama hauna underlying issues.Mimi hii ni week ya pili sasa sihisi chochote, hata unifungie kwenye chumba cha panya waliokufa hakiyanan bado ni hiyo yani harufu sihihisi kabisa.
Asante kwa maelezo nlitaka tu kujua muda huo ulioutaja hapo kumbe bado vita ipo na ni mbichi tuombeane. Naomba iwe ni mzio tu isihusiane na coronaSio lazima ufe bana,,unaweza ukawa na dalili na ukapona bila kufikia complication au hata kulazwa,mgonjwa alie na record ya kukaa na ugonjwa huo mda mrefu ni siku 60
Asante sana kunitia moyo, hapa najishindilia malimao kama yote naimani hali itakaa sawaCorona hiyo. Ila usijali utatoboa tu kama hauna underlying issues.
ahsante mkuuhiyo ni corona wengi hiyo dalili inawatokea ambao either blood group ni o+ au 0- hapo cha kufanya kunywa maji ya vuguvugu asubuhi na jioni lita mbili jua lkitoka tembea utajiona kkm una kauzima Fulani then after 2&3&4 weeks uwezo wa kunusa utarudi,nimesahau la mwisho jitahid ule vitu vitakavyoongeza kinga ya mwili.
Na nikitumia almost kwa muda gani hali inarudi katika ukawaida?Natural Cures For Anosmia TIBA YA TATIZO LA KUPOTEZA HISIA ZA KUNUSA HARUFU YA KITU
The total loss of sense of smell is known as anosmia. We never even think about our sense of smell, we are so much used to it that we take it for granted. But if we stop to think about it for a moment, we are simply unable to imagine our life without it. Our sense of smell not only enhances the taste of the food that we eat but it also warns us of certain dangers like gas leakage, smoke from a fire, food gone rancid and many more such incidences....
[emoji16] [emoji1]Da bafua yakibada yadazigua kidoma... udaweza shidwa ata kuadika....
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana kwa ushauriHii kitu wengi sana imewakuta.
........Tangawizi, limao, machungwa, nanasi, nyungu zihusike bro.
Nimesha kuwekea majibu tumia siku 21 uıtapona maradhi yako.na nikitumia almost kwa muda gani hali inarudi katika ukawaida?