Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa (Kutosikia harufu): Fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

Kaka this is not the joke hiyo hali imetokea kwa watu wengi hata Mimi pia ila Mimi nilichokifanya nilikuwa nakula tangawizi mbichi kavukavu hiyo hali hudumu Kama wiki mbili halafu hupotea,asikutishe mtu
Asante kwa matumaini kuanzia kesho nikushinda na tangawizi
 
Bila salamu moja kwa moja kwa mwataalamu.

Siku ya saba na hakuna dalili ya kurudisha uwezo wa kunusa harufu yoyote iwe mbaya au nzuri hata ile ya kitunguu kikali hakunaaa

Pua hazijaziba
Hakuna kikohozi
Kifua hakibani
Mafua kidogo sana ambayo hata sio ya kumeza dawa
Kichwa hakiumi

Mwanzo wa tatizo matundu ya pua sehemu ya juu yalikua yanauma vibaya mnoo na mafua mafua. Hiyo hali ya maumivu imekata ila kunusa harufu yoyote ndio hakuna

Msaada tafadhali.

Natural Cures For Anosmia

TIBA YA TATIZO LA KUPOTEZA HISIA ZA KUNUSA HARUFU YA KITU

The total loss of sense of smell is known as anosmia. We never even think about our sense of smell, we are so much used to it that we take it for granted. But if we stop to think about it for a moment, we are simply unable to imagine our life without it. Our sense of smell not only enhances the taste of the food that we eat but it also warns us of certain dangers like gas leakage, smoke from a fire, food gone rancid and many more such incidences.

The olfactory nerves situated in the nose detect odors with the help of a molecule which carries the odor from a substance. When the olfactory nerves are stimulated, the nerve cells send a message to the brain which detects the odor and identifies the particular smell. When these nerve cells get damaged due to injury to the nose, sinus problems, exposure to toxic chemicals, certain medications and diseases and nasal polyps, the ability to smell is impaired.

Garlic..GARLLIC FOR ANOSMIA.jpg

Garlic

Garlic has astounding health giving benefits. Its healing and curative powers are simply phenomenal. Its potent anti-inflammatory, antibacterial and antiviral properties destroy all kinds of infection, clear the nasal blockage and reduce the inflammation in the olfactory nerves. Mince three cloves of garlic and swallow it with some water every morning.

Chukuwa punje 3 za Kitunguu Saumu meza na maji ya kunywa kila siku asubuhi kwa muda wa siku 7.

LEMON JUICE FOR ANOSMIA.jpg

Lemon Juice
Lemons are very high in vitamin C which is a powerful antioxidant. It boosts the body’s immunity and enables it to fight infections. Squeeze the juice of one lemon into a glass of warm water. Add two teaspoons of honey and drink this warm mixture, three times daily. The inflamed nerves will be soothed and the nasal passages will be soon unclogged.
Tengeneza juisi ya Limao changanya na maji ya moto kisha tia vijiko 2 vya Asali safi ya nyuki koroga vizuri kunywa hiyo juisi kwa siku kunywa mara 3 Asubuhi kabla ya kula kitu mchana na usiku tumia hiyo dawa kwa siku 7 kama hujapona tumia siku 14 utakuwa umesha pona maradhi yako uguwa pole.
 
Mimi hii ni week ya pili sasa sihisi chochote, hata unifungie kwenye chumba cha panya waliokufa hakiyanan bado, yani harufu sihihisi kabisa.
 
Hivi wagonjwa wanakaa na huu ugonjwa siku kama ngapi hadi mauti yaani namaanisha tangu dalili zijioneshe kama unajua nielezee wiki au miezi?
Sio lazima ufe bana,,unaweza ukawa na dalili na ukapona bila kufikia complication au hata kulazwa,mgonjwa alie na record ya kukaa na ugonjwa huo mda mrefu ni siku 60
 
Natural Cures For Anosmia

The total loss of sense of smell is known as anosmia. We never even think about our sense of smell, we are so much used to it that we take it for granted. But if we stop to think about it for a moment, we are simply unable to imagine our life without it. Our sense of smell not only enhances the taste of the food that we eat but it also warns us of certain dangers like gas leakage, smoke from a fire, food gone rancid and many more such incidences.

The olfactory nerves situated in the nose detect odors with the help of a molecule which carries the odor from a substance. When the olfactory nerves are stimulated, the nerve cells send a message to the brain which detects the odor and identifies the particular smell. When these nerve cells get damaged due to injury to the nose, sinus problems, exposure to toxic chemicals, certain medications and diseases and nasal polyps, the ability to smell is impaired...
Mkuu asante asali vitunguu ninavyo leo naanza na mvuke kwanza kesho naendelea na vingine
 
Mimi hii ni week ya pili sasa sihisi chochote, hata unifungie kwenye chumba cha panya waliokufa hakiyanan bado ni hiyo yani harufu sihihisi kabisa.
Corona hiyo. Ila usijali utatoboa tu kama hauna underlying issues.
 
Sio lazima ufe bana,,unaweza ukawa na dalili na ukapona bila kufikia complication au hata kulazwa,mgonjwa alie na record ya kukaa na ugonjwa huo mda mrefu ni siku 60
Asante kwa maelezo nlitaka tu kujua muda huo ulioutaja hapo kumbe bado vita ipo na ni mbichi tuombeane. Naomba iwe ni mzio tu isihusiane na corona
 
Habari zenu wakuu,

Moja kwa moja niende kwenye jambo linalonitatiza, ni kwa muda wa siku nne sasa tangu nipatwe na mafua lakini siku ya jana yalipungua na kuna utofauti fulani ambao sijawahi kupata hapo kabla.

Tangu homa ya mafua ipungue nimekosa hisia ya kunusa harufu yoyote ile hata mtu akivuta sigara karibu yangu sihisi harufu yake, Je ndugu zangu ili ni tatizo gani na je lina madhara gani?

Naombeni msaada wenu niweze kujua chanzo cha tatizo ili.
 
Hii kitu wengi sana imewakuta.

........Tangawizi, limao, machungwa, nanasi, nyungu zihusike bro.
 
hiyo ni corona wengi hiyo dalili inawatokea ambao either blood group ni o+ au 0- hapo cha kufanya kunywa maji ya vuguvugu asubuhi na jioni lita mbili jua lkitoka tembea utajiona kkm una kauzima Fulani then after 2&3&4 weeks uwezo wa kunusa utarudi,nimesahau la mwisho jitahid ule vitu vitakavyoongeza kinga ya mwili.
 
Natural Cures For Anosmia TIBA YA TATIZO LA KUPOTEZA HISIA ZA KUNUSA HARUFU YA KITU

The total loss of sense of smell is known as anosmia. We never even think about our sense of smell, we are so much used to it that we take it for granted. But if we stop to think about it for a moment, we are simply unable to imagine our life without it. Our sense of smell not only enhances the taste of the food that we eat but it also warns us of certain dangers like gas leakage, smoke from a fire, food gone rancid and many more such incidences.

The olfactory nerves situated in the nose detect odors with the help of a molecule which carries the odor from a substance. When the olfactory nerves are stimulated, the nerve cells send a message to the brain which detects the odor and identifies the particular smell. When these nerve cells get damaged due to injury to the nose, sinus problems, exposure to toxic chemicals, certain medications and diseases and nasal polyps, the ability to smell is impaired.

Garlic..GARLLIC FOR ANOSMIA.jpg

Garlic

Garlic has astounding health giving benefits. Its healing and curative powers are simply phenomenal. Its potent anti-inflammatory, antibacterial and antiviral properties destroy all kinds of infection, clear the nasal blockage and reduce the inflammation in the olfactory nerves. Mince three cloves of garlic and swallow it with some water every morning.

Chukuwa punje 3 za Kitunguu Saumu meza na maji ya kunywa kila siku asubuhi kwa muda wa siku 7.

LEMON JUICE FOR ANOSMIA.jpg

Lemon Juice
Lemons are very high in vitamin C which is a powerful antioxidant. It boosts the body’s immunity and enables it to fight infections. Squeeze the juice of one lemon into a glass of warm water. Add two teaspoons of honey and drink this warm mixture, three times daily. The inflamed nerves will be soothed and the nasal passages will be soon unclogged.

Tengeneza juisi ya Limao changanya na maji ya moto kisha tia vijiko 2 vya Asali safi ya nyuki koroga vizuri kunywa hiyo juisi kwa siku kunywa mara 3 Asubuhi kabla ya kula kitu mchana na usiku tumia hiyo dawa kwa siku 7 kama hujapona tumia siku 14 utakuwa umesha pona maradhi yako uguwa pole.
 
hiyo ni corona wengi hiyo dalili inawatokea ambao either blood group ni o+ au 0- hapo cha kufanya kunywa maji ya vuguvugu asubuhi na jioni lita mbili jua lkitoka tembea utajiona kkm una kauzima Fulani then after 2&3&4 weeks uwezo wa kunusa utarudi,nimesahau la mwisho jitahid ule vitu vitakavyoongeza kinga ya mwili.
ahsante mkuu
 
Natural Cures For Anosmia TIBA YA TATIZO LA KUPOTEZA HISIA ZA KUNUSA HARUFU YA KITU

The total loss of sense of smell is known as anosmia. We never even think about our sense of smell, we are so much used to it that we take it for granted. But if we stop to think about it for a moment, we are simply unable to imagine our life without it. Our sense of smell not only enhances the taste of the food that we eat but it also warns us of certain dangers like gas leakage, smoke from a fire, food gone rancid and many more such incidences....
Na nikitumia almost kwa muda gani hali inarudi katika ukawaida?
 
Back
Top Bottom