Tatizo la kushindwa kuongea(kupoteza kauli)

Tatizo la kushindwa kuongea(kupoteza kauli)

Nado hujaelezea Anashindwa Kuongea As In how Haongei kabisa (Bubu) ..
Anashindwa Kupanga Maneno vizuri yaani anayafikiria Sana maneno hata ambayo alikuwa anayajua Kutamka zamani..
Au ameanza Kupata Kigugumizii..

Au Amekuawa haongei ila kuna muda anaongea Vizuri tu sana ila kuna muda haongei (Mute)...

Ukiweza Kunichambilulia au Kunipa tatizo halisi ninaweza Kukusaidia ABC...

Bado information nyingi sana umezihold ni Ngumu kusaidika kama Utaleta Maelezo nusu..
Wangu Ana miaka mitatu na hajui kuongea zaidi ya kuita babaa na mamaa
 
Sija msikia akijaribu kuongea anatoa sauti Gani na pia sijajua alishachukua vipimo Gani ila kwa MAELEZO Yako inaonesha hana tatizo la koo. Kama tatizo lilianza kwa kuanza kumumunya maneno wakati wa kuongea, kushindwa kuelewa baadhi ya maneno na kulazimika kurudiarudia, na vipi anaandika vizuri au la? Vipi anapata usingizi vizuri ?
Kama katika haya ni ndio Basi bila shaka anatatizo kwenye 'ubongo'. Ziko tiba anaweza kupata. Jitahidi awe analala kwa wakati na taa iwe imezimwa ili kuupa ubongo muda wakupumzika kuweza kujirudisha kwenye Hali YAKE. Jibu maswali hayo tujue tunamsaidia vp Binti huyu
 
Maombi na maombezi yanamuhusu,Mungu hajawahi kushindwa kitu,ila uamuzi ni wako na mtoto ni wako...
 
Back
Top Bottom