Tatizo la kutokwa Jasho lisilo la kawaida katika sehemu mbalimbali za mwili (Hyperhydrosis)- Fahamu Chanzo, tiba, ushauri

Tatizo la kutokwa Jasho lisilo la kawaida katika sehemu mbalimbali za mwili (Hyperhydrosis)- Fahamu Chanzo, tiba, ushauri

Jasho jingi linakutoka sehemu gani ya mwili. Usikute maji-maji kule DAWASKKO unadai jasho?
 
Hyperhidrosis ni hali ya kutokwa jasho kuliko kawaida.

Unatokwa jasho wapi hasa?

Kama ni kwapani kuna antiperspirant deodorants kwaajili ya kupunguza hali hiyo.

Viganjani na kwenye unyayo wa miguu kuna njia zake pia za kupunguza.

Kama hali itaendelea kuwa vile vile kuna kuchoma botox (hii ni very expensive and sio permanent).

Mwisho kuna surgery. Hii ni very expensive and inaweza zuia jasho kuacha kutoka sehemu moja kabisa na kuhamia sehemu nyingine ya mwili.
 
Ulisoma Benjamin Mkapa? Kisha ukasoma TIA mbeya? Pole sana mkuu. Labda weka AC home.
 
Hyperhidrosis ni hali ya kutokwa jasho kuliko kawaida.

Unatokwa jasho wapi hasa?

Kama ni kwapani kuna antiperspirant deodorants kwaajili ya kupunguza hali hiyo.

Viganjani na kwenye unyayo wa miguu kuna njia zake pia za kupunguza.

Kama hali itaendelea kuwa vile vile kuna kuchoma botox (hii ni very expensive and sio permanent).

Mwisho kuna surgery. Hii ni very expensive and inaweza zuia jasho kuacha kutoka sehemu moja kabisa na kuhamia sehemu nyingine ya mwili.
Duh! Nmetumia deodorants za aina nying sana mkuu tena usiombe upande wa kikwapa nia hatal nguo nkivaa nusu saa haitamaniki kiatu usiseme harufu yake.Nimetumia limao kama njia ya kuzuia ila bado tu mkuu nini nifanye?
 
Fanya mazoezi ya kuruka kamba au kukimbia mpaka utoke jasho.
Nasisitiza tena piga matizi hasa kukimbia au kuruka kamba.
Mkuu mimi nakusisitiza fanya mazoezi tu ili tatizo lako litaisha ndani ya wiki mbili.
Akuna dawa zaidi ya hii bwashee niamini mimi 100% na usiache kabisa kufanya mazoezi unaweza pumzika kwa siku mbili ama tatu lakini katu usiache mazoezi ya kutoka jasho.
Ntakushukuru kama utafanyia kazi ushauri wangu.
 
Back
Top Bottom