Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Fanya mazoezi ya kuruka kamba au kukimbia mpaka utoke jasho.
Nasisitiza tena piga matizi hasa kukimbia au kuruka kamba.
Mkuu mimi nakusisitiza fanya mazoezi tu ili tatizo lako litaisha ndani ya wiki mbili.
Akuna dawa zaidi ya hii bwashee niamini mimi 100% na usiache kabisa kufanya mazoezi unaweza pumzika kwa siku mbili ama tatu lakini katu usiache mazoezi ya kutoka jasho.
Ntakushukuru kama utafanyia kazi ushauri wangu.
Mazoezi yanasaidia ila hayatatui hali ya Hyperhidrosis. Ndivyo mwili wake ulivyo.
"Most people with focal hyperhidrosis are otherwise completely healthy. Studies suggest that they are no more nervous or easily upset than people who sweat normally. At the same time, hyperhidrosis can cause real problems. Most people feel extremely embarrassed by their excess sweating"