mwambojoke
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,084
- 647
Hivi kutokwa na jasho ni ugonjwa? hii si ni njia mojawapo ya kutoa uchafu mwilini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siyo vizuri kuwakamua masikini na wenye matatizo, kwani ukiuza 15000/= utapata hasara gani?
hivi kutokwa na jasho ni ugonjwa? hii si ni njia mojawapo ya kutoa uchafu mwilini.
Utokaji wa jasho mwilini una faida za kuboresha ngozi nakuondoa uchafu mwilini pamoja na kuratibu joto la mwili. Mnyama kama mbwaanategemea Zaidi ulimi wake manake hana sweatglands. Kama ambavyo mkojounapokuwa wa njano sana inaashiria upungufu wa maji na hata uti, miili yetuinatabia ya kutupa taarifa muhimu lakini tunaweza ku-respond ndivyo sivyo.asiye kubebea mzigo hajui kiasi gani unaelemewa
mazoezi zaidi kukata mafuta mwilini na ulaji wa mpangilio(dieting). ikiwemo uvaaji wa vesti especially aina ya chase Deer ni nzuri zaidi kabla kuvaa nguo nyingine kama shati ama tshirt.tujue jasho kutoka ni kiashiria kwa miili yetu kuwa imetosheka na kilichomo hivyo inasafisha mwili.whats your opinion in regard to this...mbona ugonjwa una maelezo
mazoezi zaidi kukata mafuta mwilini na ulaji wa mpangilio(dieting). ikiwemo uvaaji wa vesti especially aina ya chase Deer ni nzuri zaidi kabla kuvaa nguo nyingine kama shati ama tshirt.tujue jasho kutoka ni kiashiria kwa miili yetu kuwa imetosheka na kilichomo hivyo inasafisha mwili.
Mkuu wasitishe kutokwa jasho si dalili ya ukimwi ila huenda una matatizo ya moyo au sukari jaribu kufanya medical check up.