Tatizo la kutokwa na manii bila kudhamiria itakuwa nini?

mimi ni kijana umri miaka 20 nimekua nikipata chabgamoto ya kutoa majimaji ya sperm pindi nipo kwenye foreplay yani ile na mutomasa tomasa demu najikuta sperm zishaanza kuchuluzika au hata nikiwa na chart na demu mambo ya mapenzi mapenzi(ngono).
naomba msaada kwa hili na njia ya kuzuia hii mambo wakuu.
Hiyo inaitwa Premature ejaculation can stem from various psychological and physical factors, including anxiety, stress, relationship problems, and underlying medical conditions like thyroid issues or prostate problems.
 
Kweli experience is a best teacher
Kitu kingine nilichojifunza mabar-maid mademu hawana shukrani🥶sitaki mahusiano na barmaid

Miaka Ile mzee unamnunulia demu bia saba, na mwenzake bia saba Ila akipatikana mdau akanunua Jack Daniel moja kubabake demu anakuacha mezani peke yako anakimbia hapo umeambulia busu mbili tu za shavu labda na kushika nyonyo la kushoto 🙌Ila
 
Duuh,una majanga!Sisi maselesmen,tulikuwa hatuwapi bia,bia unaweka kwenye mfuko(Rambo)akija room ndio unampa kinywaji,apooze.
 
Kitu kingine nilichojifunza mabar-maid mademu hawana shukrani🥶sitaki mahusiano na barmaid

Miaka Ile mzee unamnunulia demu bia saba, na mwenzake bia saba Ila akipatikana mdau akanunua Jack Daniel moja kubabake demu anakuacha mezani peke yako anakimbia hapo umeambulia busu mbili tu za shavu labda na kushika nyonyo la kushoto 🙌Ila
Mimi sijapitia mengi maana nilikua na ogopaga kuja kua mtu wa ovyo ovyo pia wanawake wa bar nawaonaga Kama ma vampire 🦇
Sicheki na wowote nautunza wangu moyo😊😅
Ila pombe ni nzurii na mbaya hangover ni mbaya kutapika hutapiki kichwa kinauma balaa hapo ndipo naichukiaga pombe
Ila ukiweza ku maintain kunywa responsible Tena jion baada ya kazi
 
Back
Top Bottom