Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Aah sawa Mkuu!Kimwakaleli hahahah kuna kutokuelewana TU hapo mwanetu kuna attachment kaweka hapo ya charting na demu wake
Aah sawa Mkuu!Kimwakaleli hahahah kuna kutokuelewana TU hapo mwanetu kuna attachment kaweka hapo ya charting na demu wake
Comment yako tulikuwa tunaisaka Mzee WA vipengeleOk kumbe hatuli mbususu vyakutosha ndio maana. Tatizo sasa hawa kenge mbususu zao zimepanda bei
hapo akili inakuwa inafanya kazi sawasawaDawa ni kusubiri ufike 35,yakitoka tutafute tukupe dawa nyingine
Usijali tarehe 32 mwezi 2, mwaka 2060Mkuu umejuaje nipo Dodoma?!!!Nitabirie na siku ya kuwa tajiri, maana nimeukosa!
Tupo kwenye mfungo mkuu huogopiWa hivyo nipasie mimi 😃
HahahaTupo kwenye mfungo mkuu huogopi
Hata kuona kutakuwa hakupo,meno yote kwa dentist! Wajukuu watainjoy!Na hiyo tarehe unakuwa kama wale waliozaliwa 29_02.... hawana birthday mwaka huu.Usijali tarehe 32 mwezi 2, mwaka 2060
Demu anaomba hela kuliko anavoleta tendo inanikata steamHahaha
Utajiri ni mindset mfano mimi ni tajiri wa kutembea kwa miguu umbali mrefu bila kuchoka, wengine hawaweziHata kuona kutakuwa hakupo,meno yote kwa dentist! Wajukuu watainjoy!Na hiyo tarehe unakuwa kama wale waliozaliwa 29_02.... hawana birthday mwaka huu.
Utadhani unalipia nauli ya SGR!Demu anaomba hela kuliko anavoleta tendo inanikata steam
Halafu inaonekana ni mshamba sana hela anaita era😎 wa hivyo unagonga free changa karata vizuri.Demu anaomba hela kuliko anavoleta tendo inanikata steam
Nikimwambia alete "kisambusa chake" nikipige mguu wa kati anadai 🤣yupo kwenye mfungoUtadhani unalipia nauli ya SGR!
Yes man ni wa kanda ya ziwa wengi wanatatizo la r and l ata kama awe msomi vipiHalafu inaonekana ni mshamba sana hela anaita era😎 wa hivyo unagonga free changa karata vizuri.
All the bestYes man ni wa kanda ya ziwa wengi wanatatizo la r and l ata kama awe msomi vipi
Umenikumbusha mbali, Mimi nikiwa form four 4,militumwa na mjomba kununua mbuzinadani,nikapewa hela ya taxi, mtoto wa mjomba kakomaa twende wote, nilimswagisha mbuzi ,dogo kufika home na Maralia juu!Utajiri ni mindset mfano mimi ni tajiri wa kutembea kwa miguu umbali mrefu bila kuchoka, wengine hawawezi
Hii kawaida ipo Mbeya,Iringa,(Vitu_Fitu)!Yes man ni wa kanda ya ziwa wengi wanatatizo la r and l ata kama awe msomi vipi
Mmakonde hawezi Sema nitakupiga yeye anasema nitamipiga🤣Hii kawaida ipo Mbeya,Iringa,(Vitu_Fitu)!
Mfungo,afungue tuu.Nikimwambia alete "kisambusa chake" nikipige mguu wa kati anadai 🤣yupo kwenye mfungo