Tatizo la kutokwa na manii bila kudhamiria itakuwa nini?

Umenikumbusha mbali, Mimi nikiwa form four 4,militumwa na mjomba kununua mbuzinadani,nikapewa hela ya taxi, mtoto wa mjomba kakomaa twende wote, nilimswagisha mbuzi ,dogo kufika home na Maralia juu!
Huyo mke wake hakukufanya jambo kweli?
 
Ok kumbe hatuli mbususu vyakutosha ndio maana. Tatizo sasa hawa kenge mbususu zao zimepanda bei
🤣🤣🤣😄kile kibamia unachojisifu nacho na kenyewe kifanye expensive mkuu. 😄😄btw mada zako pendwa hizi
 
mi mwenyewe ni kama wewe tu hata usiogope ni afya iyo
 
Kapime valves
 
ma mods hawa nao vipengele wanapenda kujikuta wanajua ulichokusudia kuandika naona wahabadili na uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…