Lambo jini
Senior Member
- Aug 28, 2018
- 198
- 235
Polekwema wakuu
nasumbuliwa na tatizo la kutoa shahawa kidogo au kutotoka kabisa pindi ninapojamiiana. hali hii imeambatana na maumivu ya korodani
je ni ipi tiba!?
shukran
Kula mzee utakuja kufa una sex bila kupiga msosi wa kutoshakwema wakuu
nasumbuliwa na tatizo la kutoa shahawa kidogo au kutotoka kabisa pindi ninapojamiiana. hali hii imeambatana na maumivu ya korodani
je ni ipi tiba!?
shukran
kwema wakuu
nasumbuliwa
Unafanya Sana ngono au pia una wanawake wangapi, pia unapiga puchu?
Una umri gani 20-30 au kuendelea?
Unakula vyakula gani?[emoji15][emoji15][emoji15] Chips mayai [emoji848][emoji848][emoji848]
Usisite kufollow nofap.com
Mzizi mkavu hajaona Uzi wako , akiuona tu atasema " pole Sana kwa yanayokusibu, nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia maradhi yako upate kupona" [emoji4][emoji4]kwema wakuu
nasumbuliwa na tatizo la kutoa shahawa kidogo au kutotoka kabisa pindi ninapojamiiana. hali hii imeambatana na maumivu ya korodani
je ni ipi tiba!?
shukran
Ushauri wangu ungelikwenda kwanza hospitali kupima na kujuwa unayo maradhi gani? kuliko kuja hapa kutaka ushauri . Nenda Hospitali ukapime kisha uje hapa utupe mrejesho wako daktari amekwambiaje? ili tupate kukutibia maradhi yako.Kwema wakuu
nasumbuliwa na tatizo la kutoa shahawa kidogo au kutotoka kabisa pindi ninapojamiiana, hali hii imeambatana na maumivu ya korodani
Je, ni ipi tiba?
Shukrani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzizi mkavu hajaona Uzi wako , akiuona tu atasema " pole Sana kwa yanayokusibu, nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia maradhi yako upate kupona" [emoji4][emoji4]
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Wahi hospitalKwema wakuu
nasumbuliwa na tatizo la kutoa shahawa kidogo au kutotoka kabisa pindi ninapojamiiana, hali hii imeambatana na maumivu ya korodani
Je, ni ipi tiba?
Shukrani.