Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

Ina madhara baba.Baking powder ni kemikali.Itayaharibu meno yako yawe dhaifu.Inatoboa meno.
sio baking powder, hii ina aluminium, ni baking soda(bicarbonate soda) ni vitu viwili tofauti.
Unatakiwa kutumia baking soda.
Unafanyaje?
Unaweka baking soda kinywani na kusafisha ulimi kwa mswaki/kinywa kwa kusukutua. hutakiwi kutumia kwa wingi. Pia hii baking soda inasafisha meno kuwa meupe. Unaweza kuchanganya na asali kama hupendi ladha ya baking soda.

Wapo wanaotumia asali na mdalasini ama wanachanganya na kuiwekwa kinywani kwa dakika 2 na baadae kusukutua au unaweza kuumeza mchangayiko huo.
 
Katavi hakuna watu wanaheshimu vinywa vyao kila asubuh na kuswaki kwa umakini kama watumiaji.

Anyway... Somo ni kwamba tunapotoa nyongo .,tunatoa sumu nyingi.

Mimi nisipoitoa nyongo in 30 days naumwa.

Na hadi uitoe maana yake ni kwamba u r well brushed.
 
Okay mkuu data
 
Kila siku asbh weka pamba iliyochovywa kwny mafuta ya karafuu sugulia nayo meno then ingate funga domo nenda zako job baada ya lisaa iteme fanya hv kila siku utasahau harufu mbaya
 
Topic nzuri, naongeza kwa kna Explaster,
Kuwa na utaratibu wa kununua mswaki mpya kila mwezi au miezi miwili siyo unasubiri mpaka uwe kama brush ya chachandu.
 
Nasikia kuziba jino lililotoboka ni shilingi laki tatu.(300, 000/=tzs) halafu huduma ya kusafishwa kinywa na meno pekee ni shilingi laki mbili(200, 000/=tzs), sasa sijui gharama ya sasa ipoje.
 
sio baking powder, hii ina aluminium, ni baking soda(bicarbonate soda) ni vitu viwili tofauti.
Unatakiwa kutumia baking soda.
Unafanyaje?
Unaweka baking soda kinywani na kusafisha ulimi kwa mswaki/kinywa kwa kusukutua. hutakiwi kutumia kwa wingi. Pia hii baking soda inasafisha meno kuwa meupe. Unaweza kuchanganya na asali kama hupendi ladha ya baking soda.

Wapo wanaotumia asali na mdalasini ama wanachanganya na kuiwekwa kinywani kwa dakika 2 na baadae kusukutua au unaweza kuumeza mchangayiko huo.
sio baking powder, hii ina aluminium, ni baking soda(bicarbonate soda) ni vitu viwili tofauti.
Unatakiwa kutumia baking soda.
Unafanyaje?
Unaweka baking soda kinywani na kusafisha ulimi kwa mswaki/kinywa kwa kusukutua. hutakiwi kutumia kwa wingi. Pia hii baking soda inasafisha meno kuwa meupe. Unaweza kuchanganya na asali kama hupendi ladha ya baking soda.

Wapo wanaotumia asali na mdalasini ama wanachanganya na kuiwekwa kinywani kwa dakika 2 na baadae kusukutua au unaweza kuumeza mchangayiko huo.

Ndio hiyo hiyo baking soda.Ni nzuri kwa harufu mbaya kinywani na kufanya meno yawe meupe.Ila ukitumia zaidi ya mara moja kwa mwezi itayaunguza meno yako yawe dhaifu.
 
sio baking powder, hii ina aluminium, ni baking soda(bicarbonate soda) ni vitu viwili tofauti.
Unatakiwa kutumia baking soda.
Unafanyaje?
Unaweka baking soda kinywani na kusafisha ulimi kwa mswaki/kinywa kwa kusukutua. hutakiwi kutumia kwa wingi. Pia hii baking soda inasafisha meno kuwa meupe. Unaweza kuchanganya na asali kama hupendi ladha ya baking soda.

Wapo wanaotumia asali na mdalasini ama wanachanganya na kuiwekwa kinywani kwa dakika 2 na baadae kusukutua au unaweza kuumeza mchangayiko huo.

A major disadvantage of baking soda is that it is slightly abrasive to the teeth's enamel, and if used repeatedly over time it can weaken the enamel. The erosion of the enamel can make the teeth more sensitive and more vulnerable to dental cavities. This typee of damage is irreversible and can worsen over
time.
 
sio baking powder, hii ina aluminium, ni baking soda(bicarbonate soda) ni vitu viwili tofauti.
Unatakiwa kutumia baking soda.
Unafanyaje?
Unaweka baking soda kinywani na kusafisha ulimi kwa mswaki/kinywa kwa kusukutua. hutakiwi kutumia kwa wingi. Pia hii baking soda inasafisha meno kuwa meupe. Unaweza kuchanganya na asali kama hupendi ladha ya baking soda.

Wapo wanaotumia asali na mdalasini ama wanachanganya na kuiwekwa kinywani kwa dakika 2 na baadae kusukutua au unaweza kuumeza mchangayiko huo.

A major disadvantage of baking soda is that it is slightly abrasive to the teeth's enamel, and if used repeatedly over time it can weaken the enamel. The erosion of the enamel can make the teeth more sensitive and more vulnerable to dental cavities. This type of damage is irreversible and can worsen over

Link Is Baking Soda Bad for Your Teeth? | New Health Advisor

Link2. Tooth Enamel: Erosion and Restoration

Link3. Brushing Teeth with Baking Soda | MD-Health.com
 
ahsante sana wachangiaji wameeleza vyema sana. Harufu mbaya mdomoni yaweza kuwa mhusika hasafishi kinywa sawa sawa au ikawa ni maambukizi ya vimelea vya bakteria kinyywani na kwenye koo. Cha kwanza kabisa inabidi kusafisha kinywa kwa kupiga mswaki vyema pia kusafisha ulimi vyema kabisa kama una meno yaliyotoboka hakikisha unaondoa mabaki ya vyakula na ikiwezekana nenda kwa daktari wa kinywa na meno kwa ajili ya kucheki na kiziba meno yote yaliyotoboka ili kuondoa sehemu ambazo mabaki ya vyakula yanaweza kukaa. kama harufu itakuwa kwa sababu ya uambukizo wa bakteria basi mgonjwa inabidi kutumia dawa za antibiotic na dawa ya kusukutua kinywa ( mouth wash) na hapo tatizo litakwisha kabisa.
 
Nasikia kuziba jino lililotoboka ni shilingi laki tatu.(300, 000/=tzs) halafu huduma ya kusafishwa kinywa na meno pekee ni shilingi laki mbili(200, 000/=tzs), sasa sijui gharama ya sasa ipoje.
Kusafishwa meno kwa madaktari wa meno, mara kwa mara simshauri mtu.

Wakiwa wanasafisha na ile mashine yao kuna wakati ile kitu kama sindano ya kusafishia inashuka kwenye nyama za mafizi, na inaharibu nyama za mafizi kwa chini.
Na baadae inaweza kukusababishia matatizo ya kutokwa na damu mafizini.

Wenyewe madaktari wa meno wanashauri uwe unaenda kusafisha meno japo kila baada ya miezi mitatu.

Mimi naona ni kujitia ubovu, afadhali mara moja ikitokea sio mbaya
 
Mimi sijawahi kusikia ng'ombe anapiga mswaki wala kusukutua kinywa. Wala sijawahi kusikia au kumwona ng'ombe kwa daktari wa meno.
Je wewe umewahi kumwona ng'ombe aliye kibogoyo (aliyepoteza meno kwa kutosafisha meno)?
 
Ndio.

Nimeshawaona sana.

Ng'ombe wote hawana meno ya juu.

Ndivyo wameumbwa hivyo.

Kwa sisi Binaadam hiyo kusafisha meno kwa madaktari wa meno ni urembo tu, haina mpango wowote.

Ni kujitia ubovu
 
Back
Top Bottom