Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio baking powder, hii ina aluminium, ni baking soda(bicarbonate soda) ni vitu viwili tofauti.Ina madhara baba.Baking powder ni kemikali.Itayaharibu meno yako yawe dhaifu.Inatoboa meno.
sio baking powder, hii ina aluminium, ni baking soda(bicarbonate soda) ni vitu viwili tofauti.
Unatakiwa kutumia baking soda.
Unafanyaje?
Unaweka baking soda kinywani na kusafisha ulimi kwa mswaki/kinywa kwa kusukutua. hutakiwi kutumia kwa wingi. Pia hii baking soda inasafisha meno kuwa meupe. Unaweza kuchanganya na asali kama hupendi ladha ya baking soda.
Wapo wanaotumia asali na mdalasini ama wanachanganya na kuiwekwa kinywani kwa dakika 2 na baadae kusukutua au unaweza kuumeza mchangayiko huo.

A major disadvantage of baking soda is that it is slightly abrasive to the teeth's enamel, and if used repeatedly over time it can weaken the enamel. The erosion of the enamel can make the teeth more sensitive and more vulnerable to dental cavities. This type of damage is irreversible and can worsen over
time.
Link Is Baking Soda Bad for Your Teeth? | New Health AdvisorA major disadvantage of baking soda is that it is slightly abrasive to the teeth's enamel, and if used repeatedly over time it can weaken the enamel. The erosion of the enamel can make the teeth more sensitive and more vulnerable to dental cavities. This type of damage is irreversible and can worsen over
time.
Kusafishwa meno kwa madaktari wa meno, mara kwa mara simshauri mtu.Nasikia kuziba jino lililotoboka ni shilingi laki tatu.(300, 000/=tzs) halafu huduma ya kusafishwa kinywa na meno pekee ni shilingi laki mbili(200, 000/=tzs), sasa sijui gharama ya sasa ipoje.
Mimi sijawahi kusikia ng'ombe anapiga mswaki wala kusukutua kinywa. Wala sijawahi kusikia au kumwona ng'ombe kwa daktari wa meno.Kusafishwa meno kwa madaktari wa meno, mara kwa mara simshauri mtu.
Wakiwa wanasafisha na ile mashine yao kuna wakati ile kitu kama sindano ya kusafishia inashuka kwenye nyama za mafizi, na inaharibu nyama za mafizi kwa chini.
Na baadae inaweza kukusababishia matatizo ya kutokwa na damu mafizini.
Wenyewe madaktari wa meno wanashauri uwe unaenda kusafisha meno japo kila baada ya miezi mitatu.
Mimi naona ni kujitia ubovu, afadhali mara moja ikitokea sio mbaya
Ndio.Mimi sijawahi kusikia ng'ombe anapiga mswaki wala kusukutua kinywa. Wala sijawahi kusikia au kumwona ng'ombe kwa daktari wa meno.
Je wewe umewahi kumwona ng'ombe aliye kibogoyo (aliyepoteza meno kwa kutosafisha meno)?
Teh teh teh...Ndio. Nimeshawaona sana.
Ng'ombe wote hawana meno ya juu.
Ndivyo wameumbwa hivyo.