Tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa wanaume: Fahamu chanzo chake na namna ya kutibu tatizo hili

Tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa wanaume: Fahamu chanzo chake na namna ya kutibu tatizo hili

Mkuu unaweza ukashare tatizo lako, lilianzaje, kipi unahisi ndo kisababishi, hatua gani za kimatibabu umefanya mpaka sasa.... Wapo wadau hapa watafunguka na huenda ukapata mwarobaini wa tatizo lako.

Tatizo lilianza pale tu nilipanza kujaribu tendo kwa mara ya kwanza nilikua early 20's
sasa ni mwaka wa kumi na mbili
nimetumia dawa tofauti za kienyeji bila ya mafanikio.
nimetumia viagra na vumbi la congo bila ya mafanikio
nimekula njugu mbichi zinaweza karibia gunia bila ya mafanikio.
nimekula vunga wa gensen na vidonge vyake bila ya mafanikio

nawahi kukojoa ndani ya 10-15 seconds, uume upo legele, nkishakojoa hiyo mara moja ndio habari imekwisha. (zamani nilikua naweza kurudui cha pili baada ya muda ila ni chakuwahi vile ile ila kwa sasa baada ya kimoja ndio basi kabisa)
mkojo mwepesi na kidogo
na lamwisho ambalo limeanza hivi karibuni hata usimamaji umeanza kuwa washida sana.
 
Tatizo lilianza pale tu nilipanza kujaribu tendo kwa mara ya kwanza nilikua early 20's
sasa ni mwaka wa kumi na mbili
nimetumia dawa tofauti za kienyeji bila ya mafanikio.
nimetumia viagra na vumbi la congo bila ya mafanikio
nimekula njugu mbichi zinaweza karibia gunia bila ya mafanikio.
nimekula vunga wa gensen na vidonge vyake bila ya mafanikio

nawahi kukojoa ndani ya 10-15 seconds, uume upo legele, nkishakojoa hiyo mara moja ndio habari imekwisha. (zamani nilikua naweza kurudui cha pili baada ya muda ila ni chakuwahi vile ile ila kwa sasa baada ya kimoja ndio basi kabisa)
mkojo mwepesi na kidogo
na lamwisho ambalo limeanza hivi karibuni hata usimamaji umeanza kuwa washida sana.
Pole sana mkuu.... Hili tatizo lako linaelekea kwenye Erectile Dysfunction (ED). Hapo ningekushauri uonane na daktari wa masuala ya uzazi.

Pia mbadala wa Viagra katafute Tadalafil.... Kwa tatzo lako ukikutana na mtaalam wa hayo mambo ata prescribe dose ya chini kabisa ya 2.5mg, hii ni dose ya kumeza kila siku kidonge kimoja na baada ya kuitumia kwa week mbili mfululizo utaanza ona mabadiliko.
 
Pole sana mkuu.... Hili tatizo lako linaelekea kwenye Erectile Dysfunction (ED). Hapo ningekushauri uonane na daktari wa masuala ya uzazi.

Pia mbadala wa Viagra katafute Tadalafil.... Kwa tatzo lako ukikutana na mtaalam wa hayo mambo ata prescribe dose ya chini kabisa ya 2.5mg, hii ni dose ya kumeza kila siku kidonge kimoja na baada ya kuitumia kwa week mbili mfululizo utaanza ona mabadiliko.

mkuu spitali gani naweza kwenda kwa hapa dar?
 
Poa lete mpya?
Nina shida mkuu ninawahi kufka kileleni nimejichua sana kipindi cha nyuma nna miaka 27 sshv aseeh hali hii imeanza kunitokea hv karbuni tu sjui nifanye nn tu hata mpenzi wangu kuna wakati nashindwa kumpa raha km hapo awali najuta sana kujichua na nina miezi mi3 tu tangu nmeacha na hali ndipo imeanza kunitokea ,msaada wako mkuu vp naweza nkapata tiba ili niweze kurejesha hali yangu ya zamani !? Yn naishia bao mbili tu sshv na ninawahi kufka hadi najishangaa.
 
Basi kama ndo hivyo binadam tunatofautiana kikubwa sana, na MUNGU kamuumba kila mojawapo kuna kitu kapendelewa na kipo kanyimwa. Mm nilikua mhanga wa hyo kitu ni almost miaka 10+ NIlijichua. Uume wangu haukuwahi kua mdogo kama wa mtoto, na nlikua nasimamisha vzuri kabisa, nlikua nachakata mbususu tena sikojoi haraka mpaka naamua kuahirisha baada ya dem kulalamika. Ila changamoto n kiuno kuuma, na uoni unakua hafifu kidogo. Lakini athari za kukojoa dakika moja sio kweli inategemea na mindset yako na kujiamini kwako... NB nlikuja kuacha bila kutumia doz na niko fist 100%

Hakuna udhibitisho wa kisayansi kweli kwamba punyeto inapunguza nguvu za kiume , ni maoni ya watu tuu maana skuhiz kila mtu n mtaalam.

Nb Punyeto ni chukizo kwa mwenyezi MUNGU....kuacha punyeto n ww kuamua tuu naacha inawezekana, bila hata dawa na ukawa fiti. Miili yetu haifanani

Punyeto ina madhara makubwa :
1. Psychology affects
2. Blockage

Psychology:
Huu ni mfumo wa utambuzi unaodhibitiwa na Mind / Spirit / Akili / roho
Mind huamua kitendo , na kitendo huamua matokeo
Kwa hiyo ukizoea Punyeto , moja kwa moja mindset yako itabadilika na hutojiamini pale unapokutana na msichana , kutokana na Mindset yako iko tofauti na huwezi firahia tendo

2. Blockage :
Virgina na Mikono ni vitu viwili tofauti sana
Virgina ni laini lakini mikono ni migumu, hivyo unapojichua uume unaenda haribu mishipa yako ya damu pamoja na sensitive nerves , zinazopeleka taarifa kwenye ubongo kwa ajili ya kuruhusu kitendo kufanyika , uume unakuwa mlegevu ,na kupoteza confidence

Ukitengeneza blockage , blood flow au blood circulation inakuwa kidogo , so hapo vitu vingi hupungua kama virutubisho na hewa safi , so hiyo sehemu inakuwa hali mbaya

Katika Natural Health knowledge:
Sex inakuwa controlled na mfumo wa Figo , ambapo mfumo wa Figo una control your brain and memory
Mfumo wa Figo una control Mkojo pamoja na haja kubwa na mambo mengine kama Mifupa , Uti wa mgongo , n.k

Kwa namna hiyo ukiharibu matumizi husika aliyoweka Mungu ,moja kwa moja unakuwa affected Kisaikolojia na ikiwa hivyo , mfumo wako wa Figo energy zake zinakosa uwiano kupelekea tatizo kama hilo naturally!

Katika kampuni yetu , Xianhe International kutoka US , matibabu hayo yapo lakini kutibu hiyo lazima tukufanyie diagnosis ili kujua health situation kwa ujumla wake , na athari ikoje currently, ili kutoa Correct Plan !
[emoji120][emoji120]
IMG_2362.jpg
 
Watu wengi wanahangaika na tiba ya upungufu wa nguvu za kiume ila mimi nitaongelea katika suala la kujichua tu (punyeto). Kumbuka mimi siyo daktari wala siuzi dawa. Hii ni elimu tunapeana kama wanaume
Amini hili suala la upungufu wa nguvu za kiume baada ya kuathirika na punyeto linatibika na mimi nimepona. Huu ni ushuhuda wangu 100%. Nilianza tabia ya kujichua baada ya kuangalia picha na video za utupu, nilijichua kwa muda mrefu na madhara yake yalikuwa haya
  • Nawahi kumaliza chini ya dakika 1
  • Uume unakuwa mdogo kama wa mtoto mdogo
  • Sina hisia na mwanamke. Ile hamu ya kusimamisha haipo ipo kwa mbali sana
  • Mapigo ya moyo kupungua hata kutokuwepo. Hii hutokea ambapo unapokuwa na hisia za kujamiana, mapigo hudunda haraka haraka kusukuma damu nyingi kupeleka kwenye uume. Hali hii hutoweka
  • Uume kusimama legelege, huwezi kusimamisha kama msumari kwa dakika 2 na kuendelea.
  • Ukisimamisha na ukapata msuguano kidogo sana, unaweza ukapizi ndani ya boksa. Unaweza ukawa unashikana na mwanamke kimahaba ila ukajikuta umemwaga hata haujavua nguo.
Unajua kuchanganyikiwa kwa mwanaume ni katika hali hii. Nilichanganyikiwa hasa. Nilichofanya
Nilienda hospitali moja ya private (Jina kapuni) huko Dodoma nikamuelezea dokta hivi
1. Nawahi kumaliza, chini ya dakika moja
2. Mimi ni muathirika wa punyeto. Nilikuwa najichua
Watu wengi wanashindwa kupata matibabu kwasababu
A. Hawaendi katika hospitali kubwa. Unatakiwa uende hospitali kubwa za serikali au binafsi
B. Kutojielezea vizuri. Hawatoi maelezo yaliyojitosheleza.
C. Uelewa wa daktari na jinsia. Ukikutana daktari kipanga atakuandikia dawa nzuri na pia angalia jinsia hasa mwanaume.
D. Aibu. Acha kuwa na aibu hayo ndiyo mashai yako
Daktari aliniandikia dawa 4 ( majina kampuni) ambazo zilinigharimu kiasi cha 60,000 za kitanzania. Dawa mbili hazikuwepo hospitalini, zingine nilinunua kwenye duka la dawa. Mpaka leo risiti zake ninazo. Nimewekea lamination kabisa
Nilitumia dawa kwa miezi 3, ilikuwa 2015-06-06. Niliacha kujichua na kuangalia picha za X.
Baada ya kutumia dawa hizi niliona mabadiliko haya
1. Uume ulirudi katika hali yake ya awali. Ulikuwa mkubwa
2. Nilianza kusimamisha mpk unauma. Nasimamisha msumari
3. Nilianza kupata hisia ya kujamiana
4. Niliona mapigo ya moyo yanaenda mbio, moyo kusukuma damu nyingi kuepeleka kwenye uume.
Baada ya hapo nilianza kutumia asali ya nyuki wakubwa na wadogo pia. Nilitumia kama wiki 3 hivi. Asubuhi nakunywa vijiko 3 mpk 4, mchana na usiku. Kuna wakati nakunywa asali iliyojaa kwenye kichupa cha milimilita 300 kwa mara moja, kuna wakati natumia kulia na ugali.
Nikaja kutumia dawa (jina kapuni). Nilimeza kidonge kimoja tu kwa usiku mmoja na sijawahi kutumia tena mpaka leo hii. Kinauzwa 1500 mpaka 3500 kulingana na mkoa
Nikianza kupiga show natumia dakika 22 mpaka 30, hamu napata, kwa siku naweza kupiga show nyingi na simwagi mapema, naenda style zote. Kuna wakati sili chakula kwa wakati, maji sinywi kwa wakati na sifanyi mazoezi ila show napiga mpaka shemeji yenu anadai amechoka.
Unayesoma soma comment hii, matibabu ya kweli yapo hospitali. Nenda hospitalini. Ukapate tiba na acha kujichua. Siuzi dawa wala siyo daktari. Mimi ni mhanga kama ulivyo wewe tu.
Hopeless kabisa!
 
Back
Top Bottom