Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,659
Mbona kuna mambo kibao tu Yesu alushindwa. Halafu acheni kudanganywa. Huyo Yesu kwani yuko wapi? Uneshawahi kumwona?ss tiba si anasema amezunguka hajapata mkuu...kwa yesu hakuna linaloshindikana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kuna mambo kibao tu Yesu alushindwa. Halafu acheni kudanganywa. Huyo Yesu kwani yuko wapi? Uneshawahi kumwona?ss tiba si anasema amezunguka hajapata mkuu...kwa yesu hakuna linaloshindikana
Mbona kuna mambo kibao tu Yesu alushindwa. Halafu acheni kudanganywa. Huyo Yesu kwani yuko wapi? Uneshawahi kumwona?
Nitafanyia kazi ushauri huu mujarabu.Mkuu , kapime minyoo au kula dawa za minyoo pamoja na anti allerge yeyote kama cetrizine , loratadine etc likiwepo bado itabidi ukapime kipimo cha RFT yaani renal function test kama vile urea , uric acid , createnine
ilinitokea sana...but nilipochange to maji ya moto vugu vugu ikipungua mpana kuisha...nilisumbuka sana na hospital bila mafanikio...jaribu kuoga maji ya uvugu vigu mkuu..pole!
Mamako hata kama hujutii shit,mtu anaumwa unaleta majibu gani hayo?Ukimwi huo mkuu, nitafute pm nikuuzie ARV fasta
Mkuu huo ni ugonjwa unaitwa SCABIES nadhani usiku ndio unawashwa zaidi
nenda famasi nunua dawa inaitwa SCABOMA ni ya chupa flan hivi kanauzwa 8000
Ni kweli usiku nawashwa sanaMkuu huo ni ugonjwa unaitwa SCABIES nadhani usiku ndio unawashwa zaidi
nenda famasi nunua dawa inaitwa SCABOMA ni ya chupa flan hivi kanauzwa 8000
Huna maadili hata kidogoUkimwi huo mkuu, nitafute pm nikuuzie ARV fasta
Ni kweli usiku nnawashwa mpk napata hasira jmn