Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,403
Jana Geita hakukuwa na umeme! Hasa karumwa na nyang'hwale yote!Ni siku ya pili sasa kuna tatizo kubwa ya Luku. either kwa kununua kwa njia ya mitandao ama kwa wakala wao.... Waziri mpya tulijua umeingia kuongeza kasi kumbe mambo ni yale yale...
Ni siku ya pili sasa kuna tatizo kubwa ya Luku. either kwa kununua kwa njia ya mitandao ama kwa wakala wao.... Waziri mpya tulijua umeingia kuongeza kasi kumbe mambo ni yale yale...
Nishida, japo nitatizo la mifumoNi siku ya pili sasa kuna tatizo kubwa ya Luku. either kwa kununua kwa njia ya mitandao ama kwa wakala wao.... Waziri mpya tulijua umeingia kuongeza siku ya pili sasa kuna tatizo kubwa ya Luku. either kwa kununua kwa njia ya mitandao ama kwa wakala wao.... Waziri mpya tulijua umeingia kuongeza kasi kumbe mambo ni yale yale...
Mkuu kuna tatizo. Niko Moshi nimejaribu kununua Luku toka saa 1 asubuhi imeshindikana.Wewe upo mkoa gani? Mbona hakuna tatizo la luku mkuu,
Anyway si mkubali Makamba tangu akiwa waziri wa teknolojia na habari enzi za mkwere.
Incompetence yenu mnasingizia watu walioshika ofisi kabla. Mmetoa management yote haya sasa toeni hadi wafagizi msipate kisingizio.Ni kweli kuna Tatizo kubwa sana kwenye mfumo wa Luku.
Makamba, bodi Mpya ya Tanesco na Management mpya ya Tanesco wanatakiwa kujua kuwa kuna vita kubwa sana dhidi yao! Wanatakiwa kujipanga na kuwa makini sana!
Mifumo ya Kielectronic iliyoundwa kipindi cha Jiwe inatakiwa isimamiwe na watu wapya na sio watu walewale walioiunda kipindi kile. Au ibadirishwe na kuwekewa mifumo mingine ya usimamizi
Mkuu wasalimie karumwa hapo ingia na kijiji cha Gamashi waambie nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Nyang'hwaleJana Geita hakukuwa na umeme! Hasa karumwa na nyang'hwale yote!
Asanteh!Mkuu wasalimie karumwa hapo ingia na kijiji cha Gamashi waambie nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Nyang'hwale
Msipende kuharalisha kila uzembe ni hujuma, yaani kila kiongozi akiingia abadirishe mfumo kisa kukwepa hujuma?tatizo la tanesco ni kubwa mno, zaidi ya utendaji, na ndio maana unaona sasa kila sehemu ni kilio tu kwa wateja wapya wa umeme, kisa vifaa hakuna, hapo waziri anafanya nini?sasa wewe mtumishi wa kawaida uanze kufanye hujuma kwa serikali hii kisa ulikuwa mfuasi wa marehemu, hiyo ni akili?ukifukuzwa kazi hayati atakusaidia??na matatizo ya tanesco ni mengi mno ya miaka na miaka usitegemee kuyamaliza kwa wakati mmoja, na kama awamu ya tano ndio waliyazidisha kabisa kwani walikuwa wanatumia tu matamko ya kisiasa bila uhalisia!!na hakuna kitu kinawaumiza vichwa kama huu utaratibu wa sasa wa kuunganisha umeme kwa 27, 000!!kwani hiyo tofauti serikali hawapeleki!!Ni kweli kuna Tatizo kubwa sana kwenye mfumo wa Luku.
Makamba, bodi Mpya ya Tanesco na Management mpya ya Tanesco wanatakiwa kujua kuwa kuna vita kubwa sana dhidi yao! Wanatakiwa kujipanga na kuwa makini sana!
Mifumo ya Kielectronic iliyoundwa kipindi cha Jiwe inatakiwa isimamiwe na watu wapya na sio watu walewale walioiunda kipindi kile. Au ibadirishwe na kuwekewa mifumo mingine ya usimamizi
Ngoja tuone wakisimamisha chumi zao kwanzaNakumbuka mara ya mwisho tatizo la kununua umeme wa luku kwenye simu waziri kalemani aliwaamuru tanesco waachane na kampuni ya kigeni inayosimamia mfumo wa luku...