Tatizo la LUKU limerudi tena

Wewe upo mkoa gani? Mbona hakuna tatizo la luku mkuu,

Anyway si mkubali Makamba tangu akiwa waziri wa teknolojia na habari enzi za mkwere.
Makamba aliiweza kwa kiasi chake wizara ya Mazingira.
 
Ifike Sasa anaye shindwa kufanya kazi ipasavyo awajibishwe.
Tanesco inabidi mtupe unit 5 kila mteja kwa usumbufu mnaotusababishia. Hatuwezi kuwaacha hivi hivi.
Nakumbuka mwaka 2001/2 vodacom walikosekkana hewani, pamoja na kuomba radhi lkn walitupa dakika za bure Kama pole.
TTCL, TANESCO, DAWASCO , TCRA, wakiboa wanaachiwa tu as if ni haki yao kutoa huduma watakavyo.
Waziri act on this
 
Wewe uwa unanunua umeme kila dakika?

Sababu umeme na simu ni vitu tofauti kabisa
 
Tanesco wenyewe wamesema ni kweli tatizo lipo. Ni leo.sio jana
Hili shirika linahitaj marekebisho. Umemr ni kitu cha msingi sana haiwezekani liwe ni tatizo la kujirudia rudia
 
Hakuna kitu, jamaa ndiye aliyeleta sheria za makosa mtandaoni, au haukuwepo tukukumbushe?
Kwani zilipitishwaje bungeni?
Kwani hazikujadiliwa huko baraza la mawaziri japo kwa uchache?

Mimi siyo shabiki wa January Makamba lakini kwa aliyofanya kwenye Mazingira nampa sifa anazostahili.

Kuhusu sheria za makosa ya mitandaoni nalilaumu bunge lote na baraza la mawaziri la wakati huo.

Give credits when it's due.
I have nothing personal against him when I criticise him in public.
 
Wewe upo mkoa gani? Mbona hakuna tatizo la luku mkuu,

Anyway si mkubali Makamba tangu akiwa waziri wa teknolojia na habari enzi za mkwere.
Ukute kwenu hamjawahi hata kumiliki hata taa ya solar. Tanesco wanakiri tatizo lakini mpumbavu anakuja hapa kutaka sifa.
 
Tatizo linanzia server iko Marekani unalipia Marekani et ndio host alafu dude linatumika Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…