Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,666
- 7,788
hata posta pamesimama kisa hakuna network!
mifumo ya serikali ipoje?
mifumo ya serikali ipoje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38]Huyu waziri ndo hakuna kitu kabisa
Makamba aliiweza kwa kiasi chake wizara ya Mazingira.Wewe upo mkoa gani? Mbona hakuna tatizo la luku mkuu,
Anyway si mkubali Makamba tangu akiwa waziri wa teknolojia na habari enzi za mkwere.
Wewe uwa unanunua umeme kila dakika?Ifike Sasa anaye shindwa kufanya kazi ipasavyo awajibishwe.
Tanesco inabidi mtupe unit 5 kila mteja kwa usumbufu mnaotusababishia. Hatuwezi kuwaacha hivi hivi.
Nakumbuka mwaka 2001/2 vodacom walikosekkana hewani, pamoja na kuomba radhi lkn walitupa dakika za bure Kama pole.
TTCL, TANESCO, DAWASCO , TCRA, wakiboa wanaachiwa tu as if ni haki yao kutoa huduma watakavyo.
Waziri act on this
Sina muda wa kulumbana na kitimotoWewe uwa unanunua umeme kila dakika?
Sababu umeme na simu ni vitu tofauti kabisa
Tanesco wenyewe wamesema ni kweli tatizo lipo. Ni leo.sio janaMbona mimi nimenunua jana via airtel sijaoata tatizo kabisa.
Hili shirika linahitaj marekebisho. Umemr ni kitu cha msingi sana haiwezekani liwe ni tatizo la kujirudia rudiaTanesco wenyewe wamesema ni kweli tatizo lipo. Ni leo.sio jana
Yani hata mie nshindwa kuelewa, najibiwa mpokeaji kafungiwa sasa Tanescokafungiwa na nani na ndo mpokeaji wa hela, hii nchi ina mambo ya ajabu sana.Hii mijitu ikishaanza kuvaa sare inakuwa mipumbavu kweli
Hakuna kitu, jamaa ndiye aliyeleta sheria za makosa mtandaoni, au haukuwepo tukukumbushe?Makamba aliiweza kwa kiasi chake wizara ya Mazingira.
Kwani zilipitishwaje bungeni?Hakuna kitu, jamaa ndiye aliyeleta sheria za makosa mtandaoni, au haukuwepo tukukumbushe?
Huyu waziri ndo hakuna kitu kabisa
zimetoweka sanaHuduma zimerejeshwa
Ukute kwenu hamjawahi hata kumiliki hata taa ya solar. Tanesco wanakiri tatizo lakini mpumbavu anakuja hapa kutaka sifa.Wewe upo mkoa gani? Mbona hakuna tatizo la luku mkuu,
Anyway si mkubali Makamba tangu akiwa waziri wa teknolojia na habari enzi za mkwere.
Una chembechembe za kuwa mtumishi wa Tanesco mbona MPOVU WA MORI KIMASAI Just be normalUkute kwenu hamjawahi hata kumiliki hata taa ya solar. Tanesco wanakiri tatizo lakini mpumbavu anakuja hapa kutaka sifa.
Anatetea ujinga. Watu wanalalamika hakuna huduma teye anadai huduma ipo. Kati yake na mimi nani anaitetea tanescoUna chembechembe za kuwa mtumishi wa Tanesco mbona MPOVU WA MORI KIMASAI Just be normal