Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Ndugu yangu Pole.
Nakubaliana na mtoa maelezo hapo juu ingawa siyo yote. Kwanza ukienda mbeya au Kilimanjaro au kwa wale walioko Ulaya huwa hawasumbuliwi sana na fungus kwa sababu ya ubaridi. Hii ina maana gani?.

Mkuu Willy, sehemu ulizozitaja ni maeneo yenye baridi kali...kwa kawaida jotoridi la binadamu ni nyuzi 37,( 37°C)... juu ya hilo kwa siasi fulani ni hatari kwa mwili, huaribifu vimengenya(enzymes) vya mwili nk... Ni kitu hicho hicho kitokeacho kwa bacteria...wakiwa katika mazingira(jotoridi na hali ya hewa ya kuridhisha hawaleti madhara)...

BARIDI:
nikimaanisha, nguo nzito mtu atumiazo wakati wa baridi husaidia kutunza joto la mwili ili aweze kuishi na ndio maana utaona watu wanatumia nguo nyingi bila Fungus(Fungi) wakati wa BARIDI.

JOTO:
lakini kwa nyakati za joto(kiangazi/summer n.k) huitaji kutumia nguo nyingi kutunza joto la mwili, ..mwili unajitosheleza wenyewe bila nguo za ziada (Body autoREGULATION)..

Sasa iwapo mfumo huu ukiingiliwa(body autoregulation).. yaani self body adjustment...fungus zaweza kutokea kama ambavyo nimekwisha kusema pale juu.
 
umeniwahi hiyo kitu au LIMAO ule mchuz wke hakuna hamna mdudu anayeweza kuishi siku mbili tu!
Iliniponesha U.T.I kwa siku mbili tu! Nikarudia kupima mara mbili mbili naambiwa mkojo wako safi siaminigi!
@gody nia,bie hapa huo mchuzi ulikuponyaje U.T.I, ulikuwa unakunywa juisi yake? ulikuwa unapaka kunako? au ulikuwa unafanyaje?
 
Wakuu wife amesumbuliwa na fangasi mda mrefu na anmimba kwa hiki kipindi, naomba mnisaidie atumie dawa au tube gani ili imusaidie? Hata kama ni ya kienyeji mm ntajitahidi nimtafutie, anasumbuka sana mazee.


Sio vizuri kwa hali aliyo nayo mkeo ukamtafutia dawa kwa njia kama hii........kuna dawa nyingi ila pia sio zote zinaruhusiwa kutumiwa na mama mjamzito.....mpeleke hospitali huko atapata dawa na ushauri mzuri zaidi!
 
na kwa mwenye fangus za mapajani around korodani anatakiwa kupaka tu au ?
 
Hamna zaidi ya aloevershield. Mm nishaidi #1 . Nilikuwa na fungus za mguu zinanuka balaa. Kwenye katikati ya mapaja nilikuwa na weusi zote ni fungus na inaweza mpata mtu yoyote. Nimetumia kwa kweli harufu kali kwenye miguu imekatika.na fungus kwenye katikati ya mapaja na weusi na harufu sehemu za siri imekatika. Uwongo mbaya imenisadia. Haizidi hata 15000/= uyu kaka ndo alinileteaga 0713297066. Mtafute.
 
Hamna kitu kinachoniboa kama mtu kuleta utani wakati mtu yuko kwenye matatizo. Mm ni shaidi mzuri sana nilikuwa nasumbuliwa na serious fungus katikati ya mapaja sehemu za siri na fungus za kwenye miguu zinazotoa harufu mbaya. Kiukweli hivi vitu vinaweza mtokea mtu yoyote. Mm nilipewa evershield nashukuru mungu imenisaidia sana nimepona fungus na harufu mbaya ya fungus.haizidi hata 15000. 0713297066 uyo kaka atakushairi zaidi yeye ndo alienisaidia mambo yangu
 
bro hi treatment yang haina cost wala mbwmbw nyingine kama uko maeneo ya pwan jarib kumshaur wife acheze na sea water yan iko cmple mnatembelea beach wife anajidip kwnye maj kw kama 20mins; yan mkifanya hiv kw 2-3 wkends cosecutively utarud jukwaan kucmulia. Hii method nliigundua nkiwa skul ta n kiboko ya fungus sugu
 
kwa wale wanaosumburiwa na magonjwa ya ngozi kma chunusi,mapunye,fangus nk kiboko wa magonjawa hayo ni hyo hpo chini ma email,jembe86@gmail.com,phone 0773043764
 

Attachments

  • soap2.jpg
    2.8 KB · Views: 696
Mkuu uchafu hauwezi toka bila sabuni au ww uwa unaoga bila sabuni hyo sabuni itakufaa sana mkuu kuimarisha ngozi yako
 
kwa wale wanaosumburiwa na magonjwa ya ngozi kma chunusi,mapunye,fangus nk kiboko wa magonjawa hayo ni hyo hpo chini ma email,jembe86@gmail.com,phone 0773043764

Kwa hiyo unatuhakikishia yakwamba mwenye chunusi, mapunye, fangas nk atumie hii sabuni na atapona. Hakuna haja ya kumuona daktari wala kununua madawa na cream mbali mbali za tiba?

Unatuhakikishia ya kwamba mambo haya unayo yadai yameandikwa kwenye box la sabuni kutokea kiwandani na sio kwamba unayasema ili uuze sabuni? Hii dawa (kwa taarifa unazotupatia sio sabuni tu) ina side effects zipi?

Finally bei ya sabauni jumla na rejareja ni shs ngapi?
 

Asante chash kwa maswali yako mazuri hyo sabuni ya huwakika inatengenezwa na kampuni ya tasly unawega uka google kupata maelezo ya tiba zake zilizopo na haina aja ya kutafuta vipodi vyengine hyo peke yake imejitosheleza na nakuakishia ukitumia utaipenda,bei ni tsh 5000/ kwa maelezo nicheki phn 0773043764
 
Hyo imekuwa imported local product ndo zinasibitishwa na tbs hzo za foreigner tunangaria expire date na manufacture date na permit only datz mkuu
 
kwa wale wanaosumburiwa na magonjwa ya ngozi kma chunusi,mapunye,fangus nk kiboko wa magonjawa hayo ni hyo hpo chini ma email,jembe86@gmail.com,phone 0773043764

Kwahiyo ni mpaka mtu akuone wewe ndiyo aipate hiyo Sabuni, na siku ukiwa haupo itakuwaje? Naamini kama ni sabuni nzuri na ya ukweli lazima itakuwa inapatikana madukani/supermarket lakini kama ni zile za kichina wanazotembeza barabarani utakuwa tu unatudanganya ili uuze. Nashauri uelekeze zinakopatikana.
 
hamna mkuu hyo product ni ya uwakika kutokupatikana supermarket sio ndo kufanye product isiwenzuri that is poor ideology,hyo ni kampuni na mm ndo mana nmetoa number hii 0773043764 ili mwenyekuitaji nimpatie na mengineyo ntamwelekeza hzo zipo tofauti na hzo fake za mitaani ndo maana unaona hata parking yake imekaa kikazi zaidi most welcom mkuu
 

Hujajibu swali. Kwahiyo bila kukuona wewe siwezi kupata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…