Amina Thomas
JF-Expert Member
- Mar 9, 2008
- 272
- 130
Jamani naomba nitoe tahadhari na hii dawa. Kitunguu saumu ni dawa sana ya Kushusha presha. Unaweza kushusha presha kwa kutumia punje za kitunguu saumu. Na kama presha yako iko chini halafu ukala kitunguu saumu kibichi ujue utaishusha zaidi. Hii ilimtokea mama yangu. Alishauriwa anywe maji yaliyolala na punje 8. Yeye akaponda ili ifanye kazi haraka. Du! Tusingepata akili ya kumpa kahawa ingekua hatari maana presha ilishuka sana. Kwa hiyo nashauri mtu kabla hajatumia, acheki kwanza presha yake.
Kweli mkuu.Kuna ndugu yangu alikuwa analalamika hanenepi,kumbe amejawa na minyoo chungu nzima!Alipokunywa hiyo dawa,baada ya wiki 1 kaanza toka shavu!
Vp kuhusu dawa ya fasta ya kuondoa mafuta na kolestrol mwilini?.
Kuna jamaa yangu amepona fungus sugu za miaka 5 kwenye sehemu zake za siri sembuse mgongoni mkuu?Kote mwilini zinapona.Kwahiyo mkuu kwa hata fungus iliyo sehemu nyingine kama mgongoni!
Mwili mzima mkuu inaponyesha.Kuna jamaa yangu alikuwa nazo sehemuKwahiyo mkuu kwa hata fungus iliyo sehemu nyingine kama mgongoni!
Kijiko cha chai ni upimie maji ya vuguvugu ya kuchanganya na vitunguu ili kuvilainisha.inamaana baosita ukisaga kitunguu kimoja ni sawa na kijiko kimoja cha chai au kitazidi maana hayo mahesabu yanaendaje maana sijaelewa hapo..
Mara 1 tu unapona.Ni dawa kali sana!Labda uwe unakunywa tena ukipenda kila mwezi kama kweli unahasira na magonjwa yako.Dozi yake ni siku ngapi?
au hiyo siku moja tu unakua umepoana??
Mara 1 tu unapona.Ni dawa kali sana!Labda uwe unakunywa tena ukipenda kila mwezi kama kweli unahasira na magonjwa yako.
Hii kitu shughuli yake si ya kitoto mkuu,umeona!Ukipona usisite kuja kutoa ushuhuda hapa ili wasioamini,wapate kuamini.Ndo nimepiga hiyo kitu saa hii, duh! si kazi ndogo kihivyo saa hizi nasikilizia matokeo.
Kwa watoto wadogo inabidi uwape kiasi kidogo sana kama kipimo cha kijiko cha chai.Ni nzuri pia kwa wenye ulcers ila sijathibitisha kiundani kwani ni jamaa yangu mmoja tu alinishukuru kwa kusema ulcers yake imeanza kupoa.hahaaa asante kweli nina hasira hahaa
umesema kwa mtu mwenye low presha sio nzuri,,,,,vipi kuhusu ulcers?? kwa watoto je?
Jamani naomba nitoe tahadhari na hii dawa. Kitunguu saumu ni dawa sana ya Kushusha presha. Unaweza kushusha presha kwa kutumia punje za kitunguu saumu. Na kama presha yako iko chini halafu ukala kitunguu saumu kibichi ujue utaishusha zaidi. Hii ilimtokea mama yangu. Alishauriwa anywe maji yaliyolala na punje 8. Yeye akaponda ili ifanye kazi haraka. Du! Tusingepata akili ya kumpa kahawa ingekua hatari maana presha ilishuka sana. Kwa hiyo nashauri mtu kabla hajatumia, acheki kwanza presha yake.
Kwa watoto wadogo inabidi uwape kiasi kidogo sana kama kipimo cha kijiko cha chai.Ni nzuri pia kwa wenye ulcers ila sijathibitisha kiundani kwani ni jamaa yangu mmoja tu alinishukuru kwa kusema ulcers yake imeanza kupoa.
Merci!Mr.SIX GOALS THANX A LOT, STAY BLESSED!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:A S angry: