Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

BTW kama ni mdada sipati picha. Pole sana na zingatia ushauri huo hapo juu
 
Kwanza abadilishe pH conditions ya eneo hilo. Kwanza apime pH ya mkojo , kama ni acidic atumie dawa kuibadilisha ili iwe alkaline. Asipofanya hivyo, hawazi kupona kwa dawa za kawaida. Ukipata majibu ya pH ya mkojo,Dawa ninazo.
 




nashukuru sana mkuu nitajaribu kwenda kuzitafuta nikizipata na majibu mazuri nitayaleta hapa kwa msaada wa wengine pia. Ubarikiwe sana mkuu
 
interesting thread... mimi nimwoga sana. But nitajaribu kutumia kwa ajili ya minyoo..
Shukrani kwa BAOSITA na kwa wote walioleta majibu coz yametutia moyo wengine.
 
Last edited by a moderator:
thats is not fungus au candida. Hiyo ni chlamydia infection ndo zinatoa ute wa njano unaonuka. Fungus huwa zinatoa ute mweupe na hauna harufu. Ukipata ujumbe niPM nikuandikie dawa
 
nenda katafute vidonge vya kuingiza ukeni (clotrimazole pessaries). atumie na msifanye ngono wakati anatumia pia angalia na wewe kama upo fresh.
 
thats is not fungus au candida. Hiyo ni chlamydia infection ndo zinatoa ute wa njano unaonuka. Fungus huwa zinatoa ute mweupe na hauna harufu. Ukipata ujumbe niPM nikuandikie dawa

na inakuaje mtu unakua unaskia kama maumvu yan kama mkojo unakuuma uma vle..alaf unatoka ute mzto mweupe lakn cyo mwng?
 
thats is not fungus au candida. Hiyo ni chlamydia infection ndo zinatoa ute wa njano unaonuka. Fungus huwa zinatoa ute mweupe na hauna harufu. Ukipata ujumbe niPM nikuandikie dawa
mkuu dox ndo huwa inatibu chlamydia kama hajapona basi itakuwa fangasi, pia kasema ute mweupe huwa unapanda kwenye kondom.
 
Audhurie maabara kwanza.
mlete kwangu nichukue HVS for diagnosis
 
Do, mpe bibie pole. Mkishafuata ushauri mzuri ulitolewa na unaoendelea kutolewa naomba bibie ajaribu kunywa cranberry juice kama inapatikana hapo mlipo.
 
NYONGEZA,wakati akiwa kwenye hii dozi na wewe uwe mstahimilivu bana,maana ukianza kumuangalia wakati anaweka hizo dawa kwenye maeneo yake lazima utashikwa na kiu ya ku-do matokeo yake anachelewa kupona au haponi kabisa,umenielewa?:nimekataa
 
Mmh! Vitunguu saumu,dox,gynozol mwisho wa siku tunapata pilau majibu yalivo mengi!
 
Je mtu akitapika hiyo dawa atalazimika kunywa tena ama itaponya hivyohivyo bila kurudia? Na je kama ukinywa kwa maji mengi kama alivyofanya ndugu hapo juu haitaathiri utendaji kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…