sawa kisukari ila wakati anampa likizo aende thipitali fungus noma!musa hebu mpumzishe mwenzako na huo mchezo.haaa,mwache ajitibie hizo fungus kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa kisukari ila wakati anampa likizo aende thipitali fungus noma!musa hebu mpumzishe mwenzako na huo mchezo.haaa,mwache ajitibie hizo fungus kwanza.
Kwanza abadilishe pH conditions ya eneo hilo. Kwanza apime pH ya mkojo , kama ni acidic atumie dawa kuibadilisha ili iwe alkaline. Asipofanya hivyo, hawazi kupona kwa dawa za kawaida. Ukipata majibu ya pH ya mkojo,Dawa ninazo.msaada dem wangu anafangasi sana anawashwa na kujikuna mpaka anatoa uchafu wa njano kiasi kwamba tukitumia kinga wakati sex uchafu wote mweupe unaomtoka unapandaa juu ya ndom msaaada atumie dawa gani kwa hosp kaenda kapewa dox kamaliza doz hiyo hali imerudi tena
zipo kwa wingi supermarket zinatibu fungus wa mvunguni na wa kwapa au kikwapa na kufanya ngozi ilokuwa nyeusi kutokana na hao microbes kurudia rangi yake . Bei ni tshs 200-2500 kwa apple cider vinegar (acv) na tshs 100-1500 kwa white vinegar. Mbali na kupaka unaweza kunywa kijiko kimoja cha acv au wv na kuchanganya na maji (baridi au vuguvugu) glass moja kukuepusha na maumivu ya mwili na viungo. Tumia pia kwa kusukutua kuondoa harufu mbaya ya kinywa
Mwanamalundi hongeraaa... kwa mara ya kwanza nimeona uzi ambao unakuhusu lolAsante sana ndugu uliyekuja na hii mada. Mungu akubariki.
thats is not fungus au candida. Hiyo ni chlamydia infection ndo zinatoa ute wa njano unaonuka. Fungus huwa zinatoa ute mweupe na hauna harufu. Ukipata ujumbe niPM nikuandikie dawa
mkuu dox ndo huwa inatibu chlamydia kama hajapona basi itakuwa fangasi, pia kasema ute mweupe huwa unapanda kwenye kondom.thats is not fungus au candida. Hiyo ni chlamydia infection ndo zinatoa ute wa njano unaonuka. Fungus huwa zinatoa ute mweupe na hauna harufu. Ukipata ujumbe niPM nikuandikie dawa
NYONGEZA,wakati akiwa kwenye hii dozi na wewe uwe mstahimilivu bana,maana ukianza kumuangalia wakati anaweka hizo dawa kwenye maeneo yake lazima utashikwa na kiu ya ku-do matokeo yake anachelewa kupona au haponi kabisa,umenielewa?:nimekataaGynozol vaginal cream itamsaidia,anaingiza ndani ya uke na kupaka sehemu ya mashavu na pembeni chupi inapopita pande zote mbili (yaani kwa ndan) kwa siku saba. Usiku tu wakati amekoga na iwe ni muda wa kulala ili dawa ifanye kazi vizuri. Pia anywe maji kwa wingi na ahakikishe toilet ni pasafi kabla hajachutama. Vilevile asafishe uke kwa maji mengi na safi bila kutumia sabuni yoyote..ni muhimu kuvaa chupi kavu tena ikibidi iwe imekauka kwa joto la jua au anyooshe kwa pas na ahakikishe sehemu zake hzo amezikausha vizur wakat wa kuvaa kyupi.
Alipopewa dawa hospital (dox) ilitakiwa na wewe upewe ili mtibu tatizo kwa pamoja..i think it will help.
kitunguu saum ndo kila ki2