Dokta MABAO6. Kwanza nakupongeza kwa mada yako nzuri na ya maana sana. Wengi tunaumwa ila hatusemi. Unakumbuka wakati wa babu wa Loliondo? Hapo ndipo tulipojua waTanzania walio wengi ni wagonjwa na wamekuwa wakikosa tiba sahihi ili wapone. Nirudi kwenye mada, nauliza tena swali la mwanaJF Doricy kwamba dawa ya kitunguu swaumu inatibu pia fangas wa kinywani, mfano kwenye midomo ya nje, ulimi, nk? Nasumbuliwa na fangas wa midomo hadi nakosa raha kwa sababu imepoteza hadi rangi yake ya kawaida. Dokta naomba jibu lako tafadahli mkuu.