oscar amos
New Member
- Dec 16, 2012
- 2
- 0
jaman wadau naomben mnishauri aina gani ya dawa ambayo inaweza kumaliza kabisa fangasi za ngozini, yani zinanisumbua sana na sasa zishakuwa chronik
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jaman wadau naomben mnishauri aina gani ya dawa ambayo inaweza kumaliza kabisa fangasi za ngozini, yani zinanisumbua sana na sasa zishakuwa chronik
Dokta MABAO6. Kwanza nakupongeza kwa mada yako nzuri na ya maana sana. Wengi tunaumwa ila hatusemi. Unakumbuka wakati wa babu wa Loliondo? Hapo ndipo tulipojua waTanzania walio wengi ni wagonjwa na wamekuwa wakikosa tiba sahihi ili wapone. Nirudi kwenye mada, nauliza tena swali la mwanaJF Doricy kwamba dawa ya kitunguu swaumu inatibu pia fangas wa kinywani, mfano kwenye midomo ya nje, ulimi, nk? Nasumbuliwa na fangas wa midomo hadi nakosa raha kwa sababu imepoteza hadi rangi yake ya kawaida. Dokta naomba jibu lako tafadahli mkuu.
kaka bugia hii dawa haraka sana inatibu fungus aina zote hata wajifiche wapi inawaunguza halafu kama sugu sana itumie mara mbili kwa siku tatu....NI NOMA HII DAWA WENZIO TUSHAGONGA TUNAJIVINJARI TU SASA HIVI UKIPIGA MTAARIFU NA MWENZIO
>Mh!!!
Hizi dawa zitakuja kutuua.
Nilivyokunywa nikazani nimemeza sumu.
>TUNASHUKURU KWA TIBA MKUU.