King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Pole sana hujatuambia wewe ni Mtu mke au Mtu mume? Hujatuambia una sehemu gani hizo Fangas? Hujatuambia umekwendaHospitali na umetumia dawa za aina gani? Fanya njia hii huweza ikakusaidia inshallah..................jamani mimi nimeathiliwa na fangas, walianza kunitoa mabakamabaka kwenye ngozi, nimepambana nao kwa miaka minne huku ushindi ukiwa ni mdogo. sasa hivi nimepatwa na hali inayo ni ogopesha, nywele zangu za kwapani na sehemu zimepatwa na rangi kama nyeupe. nikipaka dawa ya fungi langi ile hupungua. je nina tatizo gani? nitumie dawa gani? madhara yake ni yapi hasa sehemu zinaposhambuluwa?
Pole sana hujatuambia wewe ni Mtu mke au Mtu mume? Hujatuambia una sehemu gani hizo Fangas? Hujatuambia umekwendaHospitali na umetumia dawa za aina gani?
mimi ni mwanaume, miaka 19, wananisumbua shingoni, kwapani na sehemu za siri. kutokana na haraka ya madaktari tumbi hospital, walinipa dawa ambayo ni kama cream ipo kwenye ki tube. nikawaambia hii dawa naijua nimesha tumia hii na dawa nyingine kama hii zinazotengenezwa india. nilitamani kupata vidonge kwani nahisi tatizo lipo ndani ya mwili. hawakunisikiliza. nakumbuka ilikuwa ni dawa ya deplozon.Pole sana hujatuambia wewe ni Mtu mke au Mtu mume? Hujatuambia una sehemu gani hizo Fangas? Hujatuambia umekwendaHospitali na umetumia dawa za aina gani? Fanya njia hii huweza ikakusaidia inshallah..................
Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.
Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)
Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi kawaida.Baada ya SIKU 1,utaona minyoo hakuna tena na fungus wote wamekauka!Kwisha kabisa!!!!
Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha! Unaweza kutumia siku 3 mfululizo au siku 7 kishan uje hapa utupe Feedback.
kama mchongoma ....yaani hapo ukipita peku unachomwa hadi basi...hadi zingine zimeota mvimh lakini huyu dada katika picha kulikoni akafuga minywele mirefu hivyo no wonder anaugua, kipochi manyoya kinatisha