Jamani naomba mnisaidie uti na fungus husababishwa na nini and dalili na jinsi ya kujizuia na dawa zake.
Jamani naomba mnisaidie uti na fungus husababishwa na nini and dalili na jinsi ya kujizuia na dawa zake.
Dawa ya kutibu Fangasi mbona Ma-Hospitalini ipo bibie? Dawa ya kutibu Maradhi ya UTI naMkuu Mzizimkavu,
Hebut tusaidie kutwambia matibabu ya hizo fungus inakuwaje?
Tiba
Dawa ya kutibu Fangasi mbona Ma-Hospitalini ipo bibie? Dawa ya kutibu Maradhi ya UTI na
Maradhi ya Fangasi na Minyoo Dawa ya Tiba Mbadala ni Kitunguu Saumu. Unatumia njia hii hapa chini:
Unapo amka Asubuhi kabla ya kula au kunywa kitu Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili
ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili
vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.
Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza
tapika.(Mara chache
sana hutokea kutapika)
Ukishakaa kama dk 15 hali yako kutotapika itarudi kawaida.Baada ya SIKU 7 ,utaona Minyoo,UTI na
hakuna tena fungus wote
wamekauka!Kwisha kabisa!!!!
Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda unywe na
kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha! Tumia kisha uje unipe feedback.
View attachment 156805
Ndo nimepiga hiyo kitu saa hii, duh! si kazi ndogo kihivyo saa hizi nasikilizia matokeo.
Ngoja leo niifanyie kazi kachumbali hizi tunazo kula ni balaa
Mbona sion mrejesho...naona watu wameenda kujaribu...embu njoon mtupe feedback..
Wengne ma-lagards ad tuone ndo tuanze na ss
Mkuu hao fungus ni mpaka wale wa vishilingi?Yaani hata minyoo ama fungus wawe sugu vipi,watakufa muda hiyo dawa ifikapo tumboni!
Kwa minyoo,hakikisha unainywa hiyo dawa ukiwa na njaa ili kuikomesha.