Waulize Pugu boys wazee wa Fungus watakupa jibu. Cheki na Next Level.....tehe teheee. Manake yale maji ya pond balaa....usipoangalia kitu inaweza kukatika
hivi kuna uwezekano wakufuta account ya jamiiforum
Wacha kutumia medicated soaps kwani hizo sabuni umaliza bacteria nzuri zikano kaa juu ya ngozi. Bacteria hizi uzuia pumbu.Jamani kuna mtu anajua dawa ya Fangasi yaani Pumbu zinauma na zimekua nyekundu kama nyanya msaada please!
Mwanzo nilikua natumia sabuni ambazo ni Medicated sana kama Protex na Detol baada ya kuacha naona hali ni mbaya nahitaji tiba ambayo itanisaidia kutibu niweze kutumia hata sabuni za Kawaida ambazo siyo medicated Suala la kuacha sabuni na Ugonjwa kurudi nimegundua kuwa sijapona.
Nahitaji tiba.
Naoamba Kuwasilisha.
Habari zenu wakuu, samahan naomba msaada kwa wale wataalamu wa magonjwa haya ya ngozi,
wapendwa mdogo wangu ana fungus kwenye makorodan tumeenda hospital kairuk tuka pewa dawa, baada ya muda ugonjwa ukarud tukaenda hospital nyingine kama mbili wakatupa dawa za kupaka na kunywa but hatukufanikiwa, tumeenda kwa masai katupa dawa akitumia fungus wanapoa ila akimaliza dawa ugonjwa unarud, niliona tiba ya vitunguu swaumu humu jamiiforum amejaribu lakin hari bado. Please naomben msaada wenu
Kwa kuongezea pia,jitahidi usivae boxer au vazi la ndani la kubana sana kwani huongeza joto na kuwafanya hao wadudu wafurahie mazingira! Vilevile kama uko huru,ukiwa chumbani waweza kuwa unajiachia ili sehemu hizo zipate hewa ya kutosha!hizo fangasi tu. anza usafi na uwe unakausha maji vizuri baada ya kuoga. usianze kutumia dawa yoyoye kwanza, kama kuna joto sana uwe unapaka poda huko maeneo. na kama ni baridi paka mafuta(mgando) kidogo sana
Tru that [emoji736]Nishawahi ugua fungus kpnd flani nikatibu lakini wapi,nikijiangalia ni msafi sana tu basi ikanitesa nkaomba Mungu asaidie nione tatzo langu liko wapi
Kumbe bwn siri ya kutopata fungus ni KUTUNZA SEHEMU ZA SIRI ZIWE KAVU MUDA WOTE,kosa langu Sikua mtumiaji wa toilet paper kabisaaa ukeni,nlitumia tissue kuwipe baada ya haja kubwa tu,
Kama unaumwa,itibu hospital baada ya hapo maintain usafi wa hali ya juu mf kuanika chupi juani,kujikausha vzuri na quality toilet paper ukiwipe kwenda nyuma,yani Usiache tupu yako Ina maji au unyevu ukitoka kujisaidia/kuoga na kutovaa nguo za kubana ili pawe pakavu,
Hizi infection zimekua history kwangu,Nashukuru Mungu kwa kweli
ngoja nikapate fegi kwanza