Habari zenu wakuu, samahan naomba msaada kwa wale wataalamu wa magonjwa haya ya ngozi.
wapendwa mdogo wangu ana fungus kwenye makorodan tumeenda hospital kairuk tuka pewa dawa, baada ya muda ugonjwa ukarud tukaenda hospital nyingine kama mbili wakatupa dawa za kupaka na kunywa but hatukufanikiwa, tumeenda kwa masai katupa dawa akitumia fungus wanapoa ila akimaliza dawa ugonjwa unarud, niliona tiba ya vitunguu swaumu humu jamiiforum amejaribu lakin hari bado.
Please naomben msaada wenu.