Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Pole, mimi nilikuwaga nazo za miguuni. Zilinitesha balaa. Nilipokwenda kumsalimia bi mkubwa(Mama) nikapata na dawa hukohuko, akaniambia nipake utomvu wa papai bichi lililo changa. Nilipaka. Baada ya siku 3 tatizo kwisha.
Angalizo. Ni lazima uwe mvumilivu kidogo, inauma sana ndani ya 24 hrs. Baada ya hapo huwa powa kabsaaaaaaaaaaaaa.
Shukrani sana ndugu
 
habari yako!
pole na maswaibu yanayokupata !
tatizo kama hilo linawakumba wengi ila kwa ufupi ukiona hvyo ujue ni mapepo au visigo kwa lugha ya kigoma so ni ngumu kupona kwa tiba ya hospitali .

ngoja nishuke gari nikuambie Dawa.
Lekase uwo muyubo mwenzako anahitaji msaada
 
Kama ni ya mda mrefu... Tumia hizi dawa...
1.Choma cephtriaxone inj. 1gm daily kwa 5/7.
2.paka clotrimazole cream Mara mbili Kwa Siku kwa 5/7.
3.unapokuwa kwenye tiba jaribu kutenga nguo za ndani za kuvaa.,
 
Mm nimesumbuliwa hiyo kitu kwa miaka5.
Nimetumia hivyo vidonge vya blue vya Hospital Tshs 30, 000 havitibu kabisaa!!

Ili nibidi nitafute dawa za miti shamba. Ina hitaji ujasiri kwenda kutumia dawa za asili. Kichupa kidogo tu, dawa ni ya njano. Mtaalamu mzuri huchanganya na dawa zingine kama 4 hivi.
Ni Tshs 2000 au 5000.

Nilipata siku 7 tu. Fangas imeisha kabisaa!!
 
Tatizo moja kubwa kwa sasa ni pamoja wahonjwa kuwa wajuaji kupita kiasi...mfano badala kufika kwa dr akasema tatizo linalomsumbua yeye akifika ataanza kusema hivi dr ninahisi nina uti naomba nipime mkojo ama ninahisi nina allergy kasheshe sasa muulize wewe tatizo nini hasa afunguke utakuta anaumwa kitu tofauti kabisa..na pia kama mgonjwa unadhani unajua usiende kumuamrisha dr akupime kitu au akuandikie dawa fulani binafsi hii huwa inanikera na kuna wakati nitakuomba samahani na kukuambia naomba mi nisikutibu kwa kuwa hutaki kufuata taratibu na mimi nisingependa kuwa kwenye list yako ya kusema nimezunguka madr wote na hospital zote wameshindwa. Samahani watu wa account mrudushieni consultation fee akajitibie maana amekuja kujitibia kwa idea zake mwanyewe sifanyi kazi kwa amri wala kukufurahishia wewe kisa umetoa hela nafanya kazi ili nikusaidie
 
You can't be serious, kwa miaka kumi nliyoumwa huu ugonjwa ntaficha nini kwa dactari, inafikia hatua unaenda kwa daktari hujamaliza kueleza shida zako au kumpa story ya ugonjwa anakuwa ashamaliza kuandika dawa, af dawa zenyewe nakuta nshazitumia mara kibao bila mafanikio, ukimwambia anasema kajaribu hii dawa af ukirudi anakupa nyungine mpaka unaweza kujikuta umepaka kila aina ya chemical kwenye ngozi,
Nimepimwa ziaidi ya mara tano kwa kula aina ya skin infection.
Halafu waathirika wa huu ugonjwa ni wengi sana na dawa nyingi za hospitali hazitibu

Nimefatilia watu wote walioleta evidence za kupona walipona kwa local treatment na sio za hospitali.
 
Mm nimesumbuliwa hiyo kitu kwa miaka5.
Nimetumia hivyo vidonge vya blue vya Hospital Tshs 30, 000 havitibu kabisaa!!

Ili nibidi nitafute dawa za miti shamba. Ina hitaji ujasiri kwenda kutumia dawa za asili. Kichupa kidogo tu, dawa ni ya njano. Mtaalamu mzuri huchanganya na dawa zingine kama 4 hivi.
Ni Tshs 2000 au 5000.

Nilipata siku 7 tu. Fangas imeisha kabisaa!!
Huyo mtaalamu naweza kumpata wapi, au hiyo dawa
 
Nenda agakhan hospital kuna professor moja jina nimesahau huwa anaingia mchana...nenda pale atakupa matibabu na utapona. Kuna jamaa alikuwa nazo tena mbaya kweli, akapewa vidonge vya wiki 2 mfululizo na ya kupaka, hii ilikuwa 3years ago mpaka sasa hajui kusumbuliwa na fungus....zingatia wakati una tumia hivyo vidonge usiguse pombe ya aina yeyote, pole sana ndugu yangu
 
You can't be serious, kwa miaka kumi nliyoumwa huu ugonjwa ntaficha nini kwa dactari, inafikia hatua unaenda kwa daktari hujamaliza kueleza shida zako au kumpa story ya ugonjwa anakuwa ashamaliza kuandika dawa, af dawa zenyewe nakuta nshazitumia mara kibao bila mafanikio, ukimwambia anasema kajaribu hii dawa af ukirudi anakupa nyungine mpaka unaweza kujikuta umepaka kila aina ya chemical kwenye ngozi,
Nimepimwa ziaidi ya mara tano kwa kula aina ya skin infection.
Halafu waathirika wa huu ugonjwa ni wengi sana na dawa nyingi za hospitali hazitibu

Nimefatilia watu wote walioleta evidence za kupona walipona kwa local treatment na sio za hospitali.
Sio kweli , naomba soma hapo juu!
 
Nenda agakhan hospital kuna professor moja jina nimesahau huwa anaingia mchana...nenda pale atakupa matibabu na utapona. Kuna jamaa alikuwa nazo tena mbaya kweli, akapewa vidonge vya wiki 2 mfululizo na ya kupaka, hii ilikuwa 3years ago mpaka sasa hajui kusumbuliwa na fungus....zingatia wakati una tumia hivyo vidonge usiguse pombe ya aina yeyote, pole sana ndugu yangu
Shukrani
 
Wakuu,

Tunaomba ushauri wenu, kwa wale ambao specialists wa magonjwa haya ya ngozi. Tunauliza hivi kwa niaba ya watu wengi ambao wamekuwa wanahangaika kupata suluhu ya matatizo haya ya MBA, Fangasi na mabaka (hasa kwenye sehemu za siri, yakiwemo mapaja).

Shukrani

Tafadhari tunaomba ushauri wenu:

A. Kuhusu Fungus za sehemu za siri:
Zinatibiwa vipi au na dawa gani? Mdau anadai amefanya yafuatayo mpaka sasa:
1. Kunyoa muda wote
2. Kukausha vizuri kwa taulo baada ya kuoga
3. Kutumia gentriderm ya kupaka.
Na ameona kuwa akitumia gentriderm zinapona lakini baada kama ya wiki zinarudi.

B. Mabaka:
Je, kuna dawa ya mabaka ya usoni, mgongoni, kifuani na sehemu nyingine za mwili?

C.Mba:
Dawa ya mba please? (Tunafahamu kuna mjadala juu ya MBA tu hapa => Ujue ugonjwa wa Mba na Tiba yake

NB:
Kwa kila moja ya dawa utajazo hapo juu tuambie kama mtoto anaweza kutumia, na kama hawezi; ni umri gani unashauriwa?

Je, kwa magonjwa hayo kuna dawa za mitishamba pia, ni zipi, zinatumikaje na dosage yake ikoje.

===========
Similar Cases:

==========
MASWALI MUHIMU:

==========
Walionufaika na ushauri wa wadau:
"P" erosion
 
Back
Top Bottom