MziziMkavu, asante sana, ngoja niianze leo jioni, ila nlishawahi kupaka kitungu saumu maeneo hayo ila niliona mabadliko kidogo ila badae hali ikarudi vilevile.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu.@Bray Pole sana kwa hayo matatizo yako mimi ninakupa dawa ya Kienyeji ya tiba Mbadala huenda ikakusaidia fanya hivi: Nunua kitunguu swaumu. Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.
Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)
Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi kawaida.Baada ya SIKU 1,utaona minyoo hakuna tena na fungus wote wamekauka!Kwisha kabisa!!!! Tumia kama Siku 3 Mfululizo ikiwa bado hujapona ongeza tena Siku 3 zingine haitafika Siku 7 utakuwa umekwisha pona jaribu kisha uje hapa utpe Feedback.
Habar ndugu zangu, nmerudi tena kwa mara nyngne tatzo langu lmegoma kuisha, nina fangas kwenye ngozi inayozunguka sehem za pumbu, hu ni mwaka wa tatu, nmetumia dawa nyng sana za kupaka na vidonge, na tatizo linazidi kuwa sugu, nisaidieni nifanyaje ndugu zangu, had muhmbli nilienda dokta akaniambia sio fangas n vipele lakin dawa alizonipa hazikunisaidia kabsa.
mkuu paty Kila siku Asubuhi kabla ya kula kitu tumie hiyo Dawa kisha ukae kama saa moja ndio waweza kunywa chai na chakula kwa siku mara moja inatosha Mkuu. Kama una maradhi makubwa tumia kwa muda wa wiki moja tu inshallah matatizo yako yatakwisha Akipenda Mwenyeezi Mungu.mara ngapi kwa siku aisee mheshimiwa Dr
Mkuu Bray hii dawa ni ya Kienyeji kwa sababu umeumwa miaka mingi na umetumia dawa nyingi hujapona ninakushauri utumie Dawa mpaka upone ninafikiri kwa nguvu ya kitunguu samu huwezi hata kufikisha siku 15 utakuwa umeshapona jaribu kisha uje hapa kueleza je umepona au bado? Give Me feedback.MziziMkavu, dozi ntumie kwa mda gan sabb hili tatzo ni la miaka mitatu sasa.
Nafuu uliyopata inaitwa "placebo effect."
Asilimia 99 ya Watanzania hawajawahi kusikia kitu kinachoitwa "placebo effect."
Nchi ya watu ma-primitive tulionyimwa elimu, masikini weee, yani inaniuma kweli kweli nchi yangu.
labda ulikuwa na minyoo nayo imekufa coz dawa inatibu na minyoonilisumbuliwa na Fangasi na nikatumia Hii Dawa
Sasa mambo yamejipa, sina tena mabaka ya fangasi
Ila Wazee Mwenzenu Nakula Sana na Ninachukua Chakula Kingi Sana Mpaka Kushiba, sasa sijui tatizo nini hapo
Ahsanten!
Heshima kwanza Dk..!
Nina mpwa wangu ana tatizo la fangasi ktk vidole vya miguu yake, yaani kila akitumia dawa fangasi zinaisha lakini baada ya muda kidogo zinarudia tena je tiba yake halisi hapa ni dawa gani? Kwani ni mda mrefu sasa bado hili tatizo haliishi akiacha kuvaa viatu fangasi zinapotea akivaa zinarudi tena, na sasaivi tena ndio anaishi Uarabuni na uanajua tena kulivyo na joto ndio haziponi kabisaa. Naomba msaada tafadhali.
je mafuta hupunguza joto? nenda pharmacy kanunue antifangal!!hii ndio tiba,kabla ya kuvaa viatu awe anapaka miguu mafuta pamoja na vidole,apake mafuta tu ya kawaida,hizo fungus atakuwa anazisikia tu kwa watu,usipopaka mafuta lile joto na msuguano ndio uleta fungus,fanya kama nilivyokueleza harafu uje kutoa ushuhuda nina uhakika asilimia zote atapona
je mafuta hupunguza joto? nenda pharmacy kanunue antifangal!!
Nashukuru mkuu..!!hii ndio tiba,kabla ya kuvaa viatu awe anapaka miguu mafuta pamoja na vidole,apake mafuta tu ya kawaida,hizo fungus atakuwa anazisikia tu kwa watu,usipopaka mafuta lile joto na msuguano ndio uleta fungus,fanya kama nilivyokueleza harafu uje kutoa ushuhuda nina uhakika asilimia zote atapona