Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Dah kijana wewe noma unataka kuona private yake kwanza,Umehua band lol

Mkuu Paul
Lengo ni kumsaidia dada huyu apone na kumbuka unapoumwa huwezi muonea aibu tabibu!

Ni imani yangu ata ni PM tuangalie the extent of affected region ndipo tumshauri matibabu!
 
Kaswende ni ugonjwa hatari sana!

Ni PM uniambie historia yako ya sex patners ndipo nitoe ushauri!Ikiwezekana hata niuone uchi unao sumbuliwa na ugonjwa usio julikana kupitia skype ili nijue nn hasa tatizo!

Pole sana in advance

Ha ha ha,utanitumia picha za hiyo kitu kwenye whatsup
 
dah pole dada,ila naiman swala lako litapata ufumbuzi JF kuna wataalam wengi
 
Naombeni msaada wenu, jamani fangasi inanisumbua sana mana kila nikkarbia kuingia ktk zle cku za kke nawashwa sana na majimaji fulani yanatoka zaid ya yote vpele km vjpu vyenye usaha hutokea juu ya ile sehem ya cr, nimeenda kwa maktari wengi sana, baadhi wameniambia kuwa ni kaswende nikameza dawa na kuchomwa cndano lkn ugonjwa ukabak palepale, huyu akaniambia ni dalili za cku za kike km wengine wanavyotokwa na chunuc, mwingine akasema nijambo la kawaida kwa jnsia ya kike ila 2 nizdshe usaf lakini bado hali yangu co nzuri.

Jamani ndugu zangu, naombeni ushauri wenu nifanyaje mana nimechoka sana na i hali.
  • Ndugu MziziMkavu njoo, msaada wako unahitajika hapa. Aksante
 
Last edited by a moderator:
Naombeni msaada wenu, jamani fangasi inanisumbua sana mana kila nikkarbia kuingia ktk zle cku za kke nawashwa sana na majimaji fulani yanatoka zaid ya yote vpele km vjpu vyenye usaha hutokea juu ya ile sehem ya cr, nimeenda kwa maktari wengi sana, baadhi wameniambia kuwa ni kaswende nikameza dawa na kuchomwa cndano lkn ugonjwa ukabak palepale, huyu akaniambia ni dalili za cku za kike km wengine wanavyotokwa na chunuc, mwingine akasema nijambo la kawaida kwa jnsia ya kike ila 2 nizdshe usaf lakini bado hali yangu co nzuri.

Jamani ndugu zangu, naombeni ushauri wenu nifanyaje mana nimechoka sana na i hali.
Mkuu Q.L
Dawa ya Fangas................

Nunua kitunguu Swaumu. Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama

saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili

vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.


Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri

unaweza tapika.
(Mara chache sana hutokea kutapika)


Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi kawaida.Baada ya SIKU 1,utaona minyoo hakuna tena

na fungus wote wamekauka!Kwisha kabisa!!!!


Pia kama una Presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana Presha,labda

unywe na
kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena Presha! Unaweza kurudia

Dawa hiyo kwa muda wa siku 3. Tumia kisha uje hapa utupe Feedback.
 
Asante, nitafanya kama ulivyonielekeza, sasa io dawa nina kunywa mara moja kwa siku au inakuaje?
 
Asante, nitafanya kama ulivyonielekeza, sasa io dawa nina kunywa mara moja kwa siku au inakuaje?
Dawa unatumia Mara moja kwa siku haswa wakati wa Asubuhi kabla ya kula kitu ndio unatumia hiyo Dawa. Unaweza kutumia kwa muda wa siku 3 mfululizo kisha baada ya siku 3 utaona mabadiliko yake hiyo dawa ya tiba mbadala Q.L
 
Last edited by a moderator:
Naombeni msaada wenu, jamani fangasi inanisumbua sana mana kila nikkarbia kuingia ktk zle cku za kke nawashwa sana na majimaji fulani yanatoka zaid ya yote vpele km vjpu vyenye usaha hutokea juu ya ile sehem ya cr, nimeenda kwa maktari wengi sana, baadhi wameniambia kuwa ni kaswende nikameza dawa na kuchomwa cndano lkn ugonjwa ukabak palepale, huyu akaniambia ni dalili za cku za kike km wengine wanavyotokwa na chunuc, mwingine akasema nijambo la kawaida kwa jnsia ya kike ila 2 nizdshe usaf lakini bado hali yangu co nzuri.

Jamani ndugu zangu, naombeni ushauri wenu nifanyaje mana nimechoka sana na i hali.

Kama sio magonjwa ya zinaa basi tengeneza mkorogo(paste) wa kitunguu thomu/saumu na ndimu halafu ujipake katika hiyo sehemu mara tatu Kwa siku Kwa wiki moja. Wewe ni katika watumia maji au karatasi? Usafi ni muhimu.
 


NI mpapai! Mara nyingi nimekuwa nikiongea kuwa Tanzania tuna miti mingi sana kiasi kwamba bado hata robo yake hatujaijua majina yake, achilia mbali kitu muhimu kama kujua matumizi.



attachment.php



Mungu alipomuumba binadamu na kumleta duniani, alihakikisha hapatwi na maradhi kama fangasi, madonda tumbo, ukurutu, mapunye n.k, kwa kuumba na mpapai. Mungu hakuumba hata zahanati pale Bustani ya Eden, badala yake

bustani ile iliumbwa ili wakila vilivyomo basi iwe ni hoteli washibe, hospitali wajitibie, saluni wawe warembo n.k.
Mpapai ulikuwepo. Mmpapai toka mizizi, mti wake, matunda, majani mpaka maua yake yanabeba maji na utomvu ambao nakuhakikishia msomaji kama utayadondoshea maji hayo katika sehemu iliyoshambuliwa na maradhi niliyotaja hapo juu, basi hutarudia kupaka tena maji hayo maana kesho yake tu utaona mambo yamekuwa sawa.

Vidonda tumbo:
Kula kipande cha papai kisichoiva vizuri kila siku alfajiri, ukimaliza shushia na mbegu moja tu ya kitunguu swaumu. Hakikisha unazidisha kiwango cha kunywa maji siku zote utakazo jitibia vidonda hivyo, na ikifika siku 13 hadi 16 utanipigia simu kunitaarifu kuwa vidonda vimepona.

Kama kipato chako ni kidogo na kupata papai kila siku ni gharama, basi usikonde. Chuma majani mawili ya mpapai kisha katakata kama mboga ya kupikwa, tia katika chupa kubwa ya lita mbili za maji na kunywa kutwa nzima kidogo kidogo hadi yaishe. Waweza kutia vipande vya mapapai machanga yaliyokatwakatwa pia badala ya majani.

Fangasi na mapunye miguuni:
Hili ndiyo tatizo la watu wengi hapa Dar na popote kwenye joto kali. Kama umeshindwa kuvaa viatu kwa sababu ya

fangasi na mapunye wala usikonde. Fua soksi zako, suuza na maji safi, chuma majani ya mpapai mawili au matatu fikicha pamoja na soksi kabla hujazikamua. Zikishafikichika na majani basi anika hivyo hivyo. Zikikauka, pukuta majani kisha vaa soksi zako endelea na shughuli zako maana kama fangasi wote watakufa na wala soksi hazitatoa harufu tena.

Mapunye kichwani na mwilini:

Huu ni ugonjwa wa watoto zaidi. Watoto wanasumbuliwa sana na mapunye, ukurutu, vipele na fangasi kwapani na kichwani. Chuma papai changa, mpake mtoto utomvu katika mapunye mara moja tu yataisha. Yasipoisha, rudia hata mara tatu lakini ukiona hayakauki, basi naomba unitafute nikuelekeze la kufanya maana maradhi mengine huja na matatizo hayo hivyo atakuwa anaumwa zaidi ya mapunye na fangasi na atahitaji tiba kali zaidi.

Angalia. Kama mtoto ni mdogo wa miaka mitatu kushuka chini basi usimpake utomvu, badala yake mpake masalia ya maganda ya papai bivu maana utomvu huponyesha haraka lakini ni mkali na unaleta maumivu ambayo mtoto mdogo hatavumilia.

Mpapai umeumbwa na unaishi na binadamu kwa ajili ya kazi hii tu. Tuweke akilini kuwa mimea ni viumbe hai visivyotembea lakini vipo kwa ajili yetu hivyo tuvipende na kuvithamini viumbe hivi.
Tuviulize majina yao, tuulize pia kila mmea una kazi gani hapa duniani n.k. Mpapai umeumbwa mahususi kuwa sabuni ya mwili nje na ndani. Ukiwa na tatizo lolote la shambulio la ngozi basi kimbia, chuma mpapai fikicha utoe majimaji hapo kwenye tatizo na mara moja utaona mafanikio tena kwa haraka mno.


 

Attachments

  • FUNGUS.jpg
    FUNGUS.jpg
    20 KB · Views: 2,886
Ndugu imefurahi sana kwa somo lako nadhani nimepata tiba ya fangasi kwangu na familia yangu. Naomba kama alitangulia utujuze kazi ya mizizi.

Je kama nina tatizo la gesi tumbuni (siyo ya mtwara tafadhali), au sipati choo kwa muda mrefu like two or three days hii dawa itasaidia?

Barikiwa sana mzizi mkavu
 
Ndugu imefurahi sana kwa somo lako nadhani nimepata tiba ya fangasi kwangu na familia yangu. Naomba kama alitangulia utujuze kazi ya mizizi.

Je kama nina tatizo la gesi tumbuni (siyo ya mtwara tafadhali), au sipati choo kwa muda mrefu like two or three days hii dawa itasaidia?

Barikiwa sana mzizi mkavu
Mkuu Mabulangati Kama una Matatizo ya Kutopata choo na tumbo kujaa gesi tumia Dawa hizi hapa chini


MARADHI YA KUTOPATA CHOO (CONSTIPATION)
: Haya ni maradhi ambayo mgonjwa huwa hapati choo kwa wepesi. Haja kubwa inaweza kutoka baada ya siku moja au mbili au zaidi na ikitoka huwa ni kigumu na hutoka kwa shida na wakati mwingine huwa kama

cha mbuzi. Wagonjwa wengine hupata maumivu wakati wa kwenda haja kubwa.
Mtu mwenye afya nzuri hupata haja kubwa kwa kiwango cha chini mara moja kwa siku. Na choo huwa laini na hutoka bila matatizo.

SABABU ZA MARADHI HUSIKA:
(1) Upungufu wa vitamini mwilini hasa vitamin B. (2) Maradhi ndani ya utumbo mpana. (3) Kula vitu vigumu na vikavu kama vile vyakula vya ngano. (4) Upungufu wa ulaji matunda na mboga. (5) Kutokunywa maji ya kutosha. (6) Upungufu wa fibre kwenye chakula zinazopatikana kwenye maganda ya mahindi. (7) Ukosefu wa kufanya mazoezi ya viungo.

TIBA: Kanuni ya kwanza:

Chukua glasi moja ya maziwa freshi baridi uchanganye na vijiko viwili vikubwa vya asali na kijiko kimoja kidogo cha mafuta ya habitsoda. Kunywa glasi moja kutwa mara mbili asubuhi na jioni. Dawa hii hufanya choo kuwa laini na kupata haja kubwa kwa wepesi.

Kanuni ya pili: Unga wa sanamaki kijiko kimoja kikubwa, Unga wa tangawizi kijiko kimoja kikubwa, Unga wa habasoda kijiko kimoja kikubwa, na Asali robo lita. Dawa hizi zote zichanganye pamoja kwa kukoroga kwa kijiko. Kula kijiko kimoja kutwa mara tatu.

Kanuni ya tatu: Asali robo lita, na Unga wa Arki susi vijiko vinne vikubwa. Kula vijiko viwili vikubwa kutwa mara mbili.

Kanuni ya nne: Kunywa kwa wingi maji ya kunywa ya Maji ya Uvuguvugu kwa wingi kila siku Asubuhi glasi 3 kabla ya kula kitu mchan unywe glasi 2 za Maji ya Uvuguvugu kabla ya kula chakula cha mchana na usiku unywe tena maji ya uvuguvugu glasi 2 kabla ya saa 1 ya kula chakula cha usiku na unywe glasi 1 ya maji ya uvuguvugu wakati unapokwenda kulala na pia ule kwa wingi matunda na mboga.


Kanuni ya tano: Kula kila siku asubuhi tende saba kabla ya chakula cha asubuhi. Tende hufanya choo kuwa laini

Kanuni ya Tano Pendelea kula Matunda la Apple (Tufaha) na Matango japo moja kila tunda kabla ya kula chakula
 
Last edited by a moderator:
UKOSEFU WA CHOO: Soma tiba rahisi

UKOSEFU wa choo ni tatizo sugu miongoni mwa watu wengi. Bila kujua kuwa ni tatizo ambalo linahitaji tiba ya haraka, watu wengi hupuuzia na kuona siyo tatizo kubwa na ni hali ya kawaida. Ukosefu wa choo wa muda mrefu, huwa ndiyo chanzo cha magonjwa mengine hatari.

Mtu anapokosa choo kikubwa kwa siku kadhaa, uchafu hujikusanya tumboni na unapokosa sehemu ya kutokea hukimbilia kwenye damu na kuingia kwenye mfumo mzima wa damu. Uchafu huo unapoingia kwenye mfumo wa damu huwa sumu na chanzo cha maradhi mengine ambayo hujitokeza baadae na kuanza kumuathiri mtu, bila kujua chanzo chake.

Kwa kawaida mtu unapaswa kupata choo cha uhakika japo mara moja kwa siku, kutegemeana na mlo wake wa kila siku, unapokosa choo kwa siku nzima ili hali una kula milo yote kwa siku, elewa una tatizo katika mfumo wako wa kusaga chakula hivyo unapaswa kuchukua hatua haraka.

MTU MWENYE TATIZO HILI ANA DALILI GANI?
Mtu mwenye tatizo la ukosefu wa choo huwa na dalili kadhaa, ikiwemo kutumia nguvu na muda mwingi wakati wa kujisadia haja kubwa. Pili ulimi wake huwa na utandu mweupe na hutoa harufu mbaya mdomoni. Mtu huyu pia hukosa hamu ya chakula na wakati wote tumbo huwa limejaa.

NINI HUSABABISHA TATIZO?

Tatizo la ukosefu wa choo husababishwa zaidi na ulaji mbaya wa vyakula, kuacha kula matunda na mboga na staili mbaya ya maisha ikiwa ni pamoja na kutokunywa maji ya kutosha kwa siku.

NINI KIFANYIKE?
Ili kuondoa tatizo kabla halijawa sugu, fanya moja miongoni mwa haya yafuatayo: Kunywa maji ya uvuguvugu asubuhi mapema, kisha tembea tembea, baada ya muda utasikia haja ya kwenda chooni. Ili usifanye haraka na upate muda wa kutosha kujiandaa kwenda kazini, amka mapema zaidi. Kula kiasi cha kutosha cha salad ya mboga mboga na juisi ya matunda halisi asubuhi kabla ya kula chochote.

Kila siku kabla ya kwenda kulala, kunywa maji ya uvuguvugu yaliyochanganywa na kijiko kimoja cha Asali. Kunywa maji ya uvuguvugu

yaliyochanganywa na limau asubuhi na mapema kabla hujala kitu chochote. Kunywa ‘castor Oil' muda mfupi kabla ya kwenda kulala. Ili

kujiepusha kabisa na tatizo la ukosefu wa choo, jenga mazoea ya kunywa maji mengi, kula mboga na matunda kwa wingi kila siku na

kuacha kabisa ulaji wa vyakula vilivyoondolewa virutubisho kama vile mikate myeupe, ugali wa unga mweupe, keki vyakula vyenye sukari nyingi na vyakula vingine vitamu.
 
Back
Top Bottom