Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Sasa hivyo vitunguu swaumu unatumia siku ngapi cc mzizi mkavu
Kitunguu saumu unakila kwa muda wa siku 3 Mfululizo kila siku asubuhi unakila kabla ya kula kitu au kunywa

kitu. Ukitaka kupona kabisa Fangasi ya aina yoyote ile na minyoo ya aina yoyote ile tumboni

mwako tumia hicho kitunguu saumu kwa muda wa siku 7 kila siku asubuhi utakuwa umepona

kabisa tumia kisha uje unipe feedback.




800px-Italian_garlic_PDO.JPG





Tafiti nyingi zimeshafanyika duniani kuhusu faida za kitunguu swaumu ambazo zimethibitisha kuwa mtu akitafuna na kumeza hata

punje moja tu ya kitunguu swaumu kila siku asubuhi, basi mtu huyo atakuwa amejitengenezea kinga ya mwili ya kudumu

itakayomlinda na maradhi mbalimbali, yakiwemo maradhi sugu yaliyoshindikana hospitalini.


Kitunguu swaumu kimegundulika kuwa rafiki wa damu mwilini, kwani kinapoliwa, huenda moja kwa moja kutoa sumu

zote kwenye damu na kuipa damu vitamin na huongeza uwezo wa damu kusafiri vyema katika mishipa hivyo kumfanya

mtu ajisikie mwenye afya njema kila siku.

Aidha, kitunguu swaumu kimegundulika kuwa na uwezo mkubwa wa kuzuia magonjwa ya moyo kwa kupenya katika

mishipa ya damu na kuvunja-vunja Cholestrerol zote ili kupisha njia ya damu iwe safi na wazi kutokana na ‘antibiotic'

iitwayo ‘Allicin' iliyomo kwa wingi katika chakula hiki.

China na India zinaaminika kuwa ni nchi ambazo wakazi wake ni watumiaji wakubwa wa kitunguu swaumu katika milo

yao ya kila siku. Tabia hii imewasaidia sana kujikinga na maradhi mengi yanayoweza kuzuilika. Bila shaka hata

Watanzania tukiamua kutumia kwa wingi kitunguu hiki katika milo yetu ya kila siku, tutajikinga na maradhi mengi na

hata uwezo wa kufikiri (Extra clear thinking capacity) utaongezeka, kwani kitunguu huongeza akili pia.

Ili nawe kujiepusha na maradhi na pengine kuyatibu yale ambayo umeshayapata kwa kutumia njia asilia, tafadhali anza

sasa utaratibu wa kutafuna na kumeza angalau punje moja tu ya kitunguu swaumu kila siku asubuhi kabla ya kula

chochote, fanya kuwa utaratibu wako wa kila siku. Ili kuondoa harufu mdomoni, tafuna kwanza kisha kapige mswaki na

kuendelea na mlo wako wa kawaida.

Kuna jambo ambalo linaweza kuwakatisha tamaa ya kupona baadhi ya watu watakaotumia kitunguu swaumu kama

dawa. Tafiti zimeonyesha kuwa upo uwezekano wa baadhi ya vitunguu swaumu kutokuwa na virutubisho
vinavyotakiwa. Hii inatokea, na inahusisha sana aina ya udongo uliyopo mahali kilipooteshwa kitunguu hicho na kwa

akili ya kawaida, utakubali kuwa kile kilichoota kwenye udongo wa mfinyanzi hakitakuwa na ladha sawa ya kile

kilichoota kwenye mchanga.

Kwa kutambua hilo, watafiti waliamua kutengeneza vidonge vya vitunguu swaumu ambavyo tayari vimepitishwa

katika maabara kuhakiki ubora kabla ya kusindikwa na kutengezwa vidonge vyenye uhakika wa tiba. Vidonge hivyo

vipo madukani na ukivihitaji utapewa maelekezo ya kuvipata kwa kuwasiliana na mwandishi wa makala haya.
 
Dawa kiboko ya minyoo na fungus sugu (home made)!!

Habari zenu wadau.Nimeona nitoe elimu hii hapa kwa sababu ni watu wengi sana wanaosumbuliwa

na minyoo na fungus sugu kila maeneo kuanzia miguuni mpaka sehemu nyeti!Hii imekuwa kero

sana.Haijalishi umezunguka hospitali ngapi bila kupata nafuu.Cha kufanya ni:-


Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama

saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili

vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.



Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri

unaweza tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)


Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi kawaida ya kuto tapika.Baada ya SIKU 3 ,utaona minyoo

hakuna tena na

fungus wote wamekauka!Kwisha kabisa!!!!


Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda

unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha!




MATUMIZI YA KITUNGUU SAUMU?

Kitunguu saumu unakila kwa muda wa siku 3 Mfululizo kila siku asubuhi unakila kabla ya kula kitu au kunywa


kitu. Ukitaka kupona kabisa Fangasi ya aina yoyote ile na minyoo ya aina yoyote ile tumboni

mwako tumia hicho kitunguu saumu kwa muda wa siku 7 kila siku asubuhi utakuwa umepona

kabisa tumia kisha uje unipe feedback
Msisite kuja kutoa ushuhuda wenu hapa wakuu.


chanzo. Dawa kiboko ya minyoo na fungus sugu (home made)!!
 
Wadau,

Napenda kutanguliza shukrani za dhati kwenu nyote nimepona ugonjwa wa fungus wa mwili niliokuwa nao kwa muda takribani miaka 12.

Nimetibiwa hospital ya masista Kawe unashukia kituo kinaitwa Kanisani kama ukipanda daladala.

Jaribu nawe kama una tatizo kama langu thanks so much JF
 
Ungefafanua kidogo umepewa dawa gani na ulikuwa na fangas aina gani tupe history kidogo.
 
JF ilianzishwa 2006,ugonjwa wako una miaka 12,kupona kwako kuna uhusiano gani na JF?
Kama kungekuwa na uwezekano wa kushusha cheo ningeomba mods wakushushe cheo urudi kwenye junior member . Yeye kasema ameumwa kwa miaka 12 ila ushauri wa matibabu kaupata JF. Mbona ina eleweka? kwani babu wa miaka 90 hawezi kushauriwa na mtoto wa miaka 7?
 
Kama kungekuwa na uwezekano wa kushusha cheo ningeomba mods wakushushe cheo urudi kwenye junior member . Yeye kasema ameumwa kwa miaka 12 ila ushauri wa matibabu kaupata JF. Mbona ina eleweka? kwani babu wa miaka 90 hawezi kushauriwa na mtoto wa miaka 7?

Ha ha haaa .... naomba nijue jinsia yako please! Hata wewe unaweza kunivua,efu ishirini kitu gani bhanaaaa!
 
Atueleze alikuwa anaumwa fungus wa aina gani na alipewa dawa gani na pia ushauri huo aliupata kwenye sredi gani? Ili na mie npate somo.
 
JF ilianzishwa 2006,ugonjwa wako una miaka 12,kupona kwako kuna uhusiano gani na JF?

uwezo wako wa kufikiri ndo umegotea hapo...nasikitika sana juu ya uwezo wako wa kufikiria na ubaya akili zinaridhiwa...nawasikitikia na watoto wako
 
JF ilianzishwa 2006,ugonjwa wako una miaka 12,kupona kwako kuna uhusiano gani na JF?

Alianza kuumwa before JF haijaanzishwa na amepona kwa nondo aliyoipata JF baada ya kuanzishwa concern yako hasa ni nn au mm sijaelewa?
 
Wadau napenda kutanguliza shukrani za dhati kwenu nyote nimepona ugonjwa wa fungus wa mwili niliokuwa nao kwa muda takribani miaka 12..nimetibiwa hospital ya masista Kawe unashukia kituo kinaitwa kanisani kama ukipanda daladala.jaribu nawe kama una tatizo kama langu thanks so much JFmEMBER

Hebu tufahamishe vizuri fungus wa aina gani, umetumia dawa gani na umepona kwa muda gani ? TOA SOMO LIELEWEKE!!!
 
Hebu tufahamishe vizuri fungus wa aina gani, umetumia dawa gani na umepona kwa muda gani ? TOA SOMO LIELEWEKE!!!

mbona aliyepona kapotea??? wengine tutahitaji details maana tupo mikoani. hata kawe hatupajui zaidi ya kumjua halima mdee
 
kwa wenye tatizo la fungus za miguu tumieni mafuta ya nazi ni tiba ya ajabu ambayo wengi hawaijui paka vidoleni mara mbili kwa siku
 
Back
Top Bottom