Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Wadau napenda kutanguliza shukrani za dhati kwenu nyote nimepona ugonjwa wa fungus wa mwili niliokuwa nao kwa muda takribani miaka 12..nimetibiwa hospital ya masista Kawe unashukia kituo kinaitwa kanisani kama ukipanda daladala.jaribu nawe kama una tatizo kama langu thanks so much JFmEMBER

sioni jf inahusika vipi hapo..........

ufafanuzi tafadhali..........
 
Tahadhari: fungus wapo aina nyingi wengine ni wagumu sana kutibika 'resistant' na njia pekee ni kumchukua huyo na kumfanyia wanayoita 'culture and sensitivity test' hapo utapata dawa sahihi. Kitunguu swaumu ni sawa na limau au tangawizi. Asali ni tofauti imethibitika kisayansi kuwa antibacterial na siyo wote pia

Kiongozi naomba kuuliza ..ivi hii fungus ya maps like dawa yake exactly ni ipi? Maana mi nnayo miaka 5 saivi dawa kibao najaribu ila wapi,,,msaada
 
Msaada wana Jf
Nina tatizo nikiwa na hasira nashikwa na mkojo sana je hili ni tatizo gani nifanyeje ili lisinitokee
naomba majibu ya kweli sio dhihaka na dharau tafadhalini wadau

Mie naona ni kawaida 7babu, unapo shikwa na hasira kuna mawili fight or flight kwa hiyo mwili huitaji kuwa free from any tension, kwa hapo kukojoa kuna release tension.
 
Kiongozi naomba kuuliza ..ivi hii fungus ya maps like dawa yake exactly ni ipi? Maana mi nnayo miaka 5 saivi dawa kibao najaribu ila wapi,,,msaada

Kwa hao sugu ni vizuri ukifanya culture and sensitivity test.....ukienda maabara watachukua sampuli wazipime kuliko kubahatisha dawa
 
Kwa hao sugu ni vizuri ukifanya culture and sensitivity test.....ukienda maabara watachukua sampuli wazipime kuliko kubahatisha dawa

Shukrani mkuu..mi naishi moro kwani hiyo huduma inapatikana maabara za dispensary yoyote ? Km siyo kwa hapo dar huduma hiyo inatolewa km wapi vile?
 
Shukrani mkuu..mi naishi moro kwani hiyo huduma inapatikana maabara za dispensary yoyote ? Km siyo kwa hapo dar huduma hiyo inatolewa km wapi vile?

Hapo Moro hebu jaribu kucheki na jamaa mmoja anayo lab (maabara) hapo karibu na Mt Uluguru Hotel. Hapa DSM maabara kibao unaweza kupata huduma hiyo. Matokeo yatachukua kuanzia siku 2 siyo chini ya hapo
 
Hapo Moro hebu jaribu kucheki na jamaa mmoja anayo lab (maabara) hapo karibu na Mt Uluguru Hotel. Hapa DSM maabara kibao unaweza kupata huduma hiyo. Matokeo yatachukua kuanzia siku 2 siyo chini ya hapo

Sante sana ngoja nichukue hatua kiongozi
 
inamaana ukiwa na minyoo lazima uwe na fangas? mimi nina fangas sababu naziona ila sijui kuhusu minyoo ngoja niifanyie kazi dawa
 
Halafu na haya masuala ya kuchanganya na asali sijui limao nani kayaleta tena hapa?!!Hivi jamani mmeona maelezo yangu vizuri ama mnatunga tu na nyie yenu maana tusije kulaumiana baadaye ikitokea sumu!Nimetaja vitunguu swaumu peke yake,SIJATAMKA LIMAO ama ASALI!Sasa wewe kama unaamua sijui kuwekeka sukari,chumvi ama asali utakuwa unajihatarisha mwenyewe.Wengine wanasema eti wanatengeneza juice,kha!!Kama umeona hukufuata maelezo yangu tafadhali usije kulalamika kwamba haikufanya kazi wala kukusababishia hamu ya vitu vingine.Tuwe makini tafadhali wakuu.

Ukiwa na hypertension inakuwaje mkuu? Kwa hiyo kitunguu swaumu kimoja tu kwa maana ya kimoja kinatosha ukikisaga kwa mfano kwenye blender ukanywa itakuwa poa? Lakini.nikienda sokoni Buguruni au Tandika ( siyo Kariakoo) nitapata hivyo vitunguu ambavyo ndo standard? Ahsante mkuu, Mungu akubariki, maana umesaidia wadau bure, tofauti na wengine badala ya kusaidia jamii wanaanza ooh ukihitaji nipm!
 
Mheshimiwa ninavyojua vitunguu suamu na vitunguu maji ni hatari sana kwa wenye vidonda vya tumbo hasa gastric alsas na mafuta ya zaitun unasemaje kuhusu fungus
 
Ndugu wanaJF nina imani mko salama,

Mimi nina tatizo la fangas kwa mda mrefu sasa, toka mwaka 2008 ilikuwa inanisumbua nimejaribu kutibiwa na kushauriwa sehemu tofauti tofauti tena kwa gharama kubwa bila mafanikio, nikitibiwa inatulia kama miezi minne au mitano tena inarudi na inarudi sehemu zilezile ilipokuwa a wali na Mara nyingi huwa ni sehemu nne tu na kujirudia rudia kila mara sehemu zenyewe ni hizo kwenye mabano (sehemu za siri yaani uume na korodani zake, mkononi karibu na makutano ya mkono na kiganja, kifuani karibu na titi la kulia na mdomoni tena upande wa kulia) na moja ya dawa nilizotumia bila mafanikio ni I.v fluconazole enjection na aina tofauti tofauti za vidonge vyenye kuchukua dozi hata ya mwezi mzima.

Dalili zake: Dalili zake siku zote hali hiyo inapotaka kujitokeza hufanana kila mara , hizo sehemu husika panakuwa pa moto sana, huwasha sana, mwanzoni huwa kama pekundu kwa mbali, baadae huwa peusi na huvimba na kuonekana mithili ya sehemu ya ngozi iliyoungua kwa maji ya moto. Naomba msaada Tafadhali hat a kama kuna dakitari bingwa wa magonjwa hayo naomba contact yake. Naomba kuwasilisha.


images
images
images





TIBA NA USHAURI:
Kwanza,Hakikisha sehemu husika inakuwa kavu masaa 24.

Pili pakaa poda yoyote ya kutibu fangasi asubuhi na usiku kwa wiki 4 mfululizo MYCOTA inaweza kukufaa.

Tatu,tafuta na meza antibiotic eg cloxacillin 250mg(2 x 3 siku 5) kama sehemu yenyewe imekwa kama kidonda ili uweze kukausha
haraka.

Nne usivae boxer/chupi bali vaa bukta yenye kuruhusu hewa kupita na jikaushe vizuri baada ya kuoga(ni vizuri kusubiri ukauke kabla ya kuvaa nguo).
Usitumie sabuni zenye dawa kwani zitakusaidia kwa muda lakini zitafanya ngozi kupoteza uwezo wake wa asili wa kujilinda dhidi ya vijidudu(ngozi ina uwezo wa kujilinda kiasili,haiitaji msaada, na uwezo wake unaongezeka kadiri inavyoshambuliwa na vijidudu-)

Tano hakikisha unabadili nguo ya ndani kila siku na unavaa nguo safi na ikibidi uipige pasi kila siku.

Sita,tumia cream inayoitwa QUADRIDERM X 2 KWA SIKU 14 lakini ipake sehemu ikiwa kavu na kaa dk 15-30 kabla ya kuvaa nguo Mwisho,Muone daktari kwa ushauri na tiba zaidi.
DAWA YA KUTIBU MARADHI YA FANGASI

Nunua Kitunguu Swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya

kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo

kipimo cha kijiko cha chai ili vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.


Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna

tumbo zuri unaweza tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)


Ukishakaa kama dk 15 hali yako kutotapika itarudi kama kawaida.Baada ya SIKU 14

utaona minyoo hakuna tena na fungus wote wamekauka!Kwisha kabisa!!!!


Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana

presha,labda unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena

presha! U
sisite kuja kutoa ushuhuda wako hapa.
 
tumsubirie dr Mzizimkavu.
nachoweza kushauri kuhusu hizo fungus za sehemu za siri jenga tabia ya kuvaa nguo za ndani kavu zisizo na unyevunyevu,pia unapoenda kuoga hakikisha unajikausha vyema na taulo kabla ya kuvaa nguo,unaweza kkutumia pia maji ya limau kuweka katika maeneo hayo inasaidia sana,tahadhari inawasha sana,pole nakutakia kupona upesi!
 
Back
Top Bottom