lugoda12
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 276
- 574
Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), inahitajika kufanya innovation katika idara ya manager watu hatuwezi kuwa na viongozi ambao hawajitambui katika wajibu wao uliowafanya wawe hapo!
You can imagine maji hayatoki takribani siku 4 sasa na this later imetolewa September 28 tunawelewaje hapo?
Soma: DAWASA ni moja kati ya idara za serikali zilizofeli sana jijini Dar es salaam, viongozi wawajibishwe
You can imagine maji hayatoki takribani siku 4 sasa na this later imetolewa September 28 tunawelewaje hapo?