binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Na serikali ipo inaacha hii michezo michafu inaendelea??Issue ya maji Dar naona ni michezo michafu tu ya watu kwasababu Wami/Ruvu bado iko na maji.
WaTz tuna tatizo la msingi sana la kuishi substandard life/below normal na kuridhika, mwaka 2024 bado maji ni tatizo kwenye jiji la kibiashara, honestly haya ni maajabu.
I am sure Mbowe kwake kuna maji 24/7/365 na bado alikuwa barabarani juzi, Sisi sasa including hao polisi 😀😀